Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkikosa UEFA sijui mtatuambia nini nyinyi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watadai kufika semi final au final kwao ni overachievement, maana malengo yao msimu huu ilikua ni kufika quarter-final.
Halafu hizi kima tukiziitaga ni misukule kuna watu hua wanalalamika humu kua huo ni udhalilishaji wa kijinsia.
1710748027241.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watadai kufika semi final au final kwao ni overachievement, maana malengo yao msimu huu ilikua ni kufika quarter-final.
Halafu hizi kima tukiziitaga ni misukule kuna watu hua wanalalamika humu kua huo ni udhalilishaji wa kijinsia. View attachment 3318427
🤣🤣🤣

Kwenye sala zao waombe sana tukose Kombe la Europa league

Otherwise watatuambia msimu huu walikuwa wanafanya nini sasa🤣🤣🤣
 
Ndg usidanganyike kama Barcelona anamuonea mbambe wa england Chelsea ambaye anamfunga arsenal kila kukicha na team zote za england , arsenal wanawake atafungwa sio chini ya kamba 5 nafikiri ndio fainali laini Kwa Barcelona kuwahi kutokea na ataendelea kuchukua kombe hili Kwa mwaka wa tatu mfululizo na kuna dalili akafikisha miaka sita mpaka Saba hakuna team ya kuizuia Barcelona hata mwakani.Hii ni Kwa wale tunaofuatilia soka la wanawake tunaongea team iliyofungwa mechi mbili au tatu tu misimu mitatu ya mashindano yote hii ndio Barcelona women .
Naelewa unachozungumza ndugu, pia hata mimi nimfuatiliaji wa soka la wanawake.

kwa msingi wa hoja yako, kumbuka hata sisi tumetoka kumfunga Lyon tena nyumbani kwake ambaye hajapoteza mechi hata moja tangu msimu unaanza, na huyo Lyon amekuwa ni mbabe wa barcelona miaka nenda miaka rudi, ni mwaka jana pekee tu ndio barcelona alimfunga Lyon, sasa kama tumeweza kumnyanyasa Lyon tena kwa kichapo heavy, basi tunaweza kumfunga na huyo barcelona kwenye hiyo fainali, na hasa ukizingatia hakuna kombe lingine tunalotarajia zaidi ya WCL makombe ya ndani yote chelsea amejimilikisha.
 
Arsenal yaenda shimoni
Baada ya kuona Liverpool ananyanyua kwapa tena ndani ya miaka michache tu
Huku arsenali akiwa mshindwa sugu, Mwaka wa 20
No epl

Kaenda kutafuta faraja kwenye soka la akina Dada ambalo hata sisi akina dada hatuna mzuka nalo.
Hujui tu, Arsenal Women wanacheza soka safi na la kuvutia kuliko hata liverpool ya akina Mo salah.

Karibu jumatano wanacheza na Aston villa ujionee burudani, na sio mpira wa kuchoshana kama ule uliozoea kuuona pale anfield ambapo akina Luis Diaz muda wote ni kukimbia tu, na kuna muda wanakimbia mpaka wanasahau mpira.
 
Ni aibu kubwa wanaume ligi imewashinda mnabadilisha gia hewani kujidai ni mashabiki wa ligi ya kina Mama😂
Wewe unawivu tu kwa sababu wanawake wenu si lolote si chochote kwenye boli huku wakwetu ndiyo vinara. Hapa najua wote mnaomba Barcelona watuchape ili mpate la kusema.
 
Hujui tu, Arsenal Women wanacheza soka safi na la kuvutia kuliko hata liverpool ya akina Mo salah.

Karibu jumatano wanacheza na Aston villa ujionee burudani, na sio mpira wa kuchoshana kama ule uliozoea kuuona pale anfield ambapo akina Luis Diaz muda wote ni kukimbia tu, na kuna muda wanakimbia mpaka wanasahau mpira.
Sisi tunashabikia mechi za wanaume wa shoka
Nyie ligi ya akina Mama, mmemkacha Aterta
Basi badilisheni kabisa thread
Iwe arsenal queens😂
 
YOur fellow fools opted out hawajasema kitu
Inasikitisha sisi ndio tunawaona nyie wehu kumbe nyie hamjitambui ndio fools, kuwa shabik wa Arsenal lazima kuna fuse zinakua zimepga shoti mahala.

Hapo na msimu huu mtatoka patupu, mtakuja kumsifia Arteta kuwa mmetolewa kwnye hatua nzuri, hizo ni akili??
 
Sasa unaniulizaje lakini? Ok, assuming akili huna mi ntafanyaje sasa?
 
Sisi tunashabikia mechi za wanaume wa shoka
Nyie ligi ya akina Mama, mmemkacha Aterta
Basi badilisheni kabisa thread
Iwe arsenal queens😂
Mbona makasiriko mama, sis huku timu zetu zote mbili zinaelekea kwenye climax ya kutupa furaha kubwa sana kiasi kwamba vilabu vingine vyote vitatuonea wivu.

Vuta picha hilo parade lake litakavyokuwa baada ya timu zote mbili kutawazwa wafalme wapya wa ulaya.... vibe lake ni zaidi ya hicho kiEPL mlichochukua kwa msaada wa PGMOL

Nyie timu yenu ya wanawake(liverpool women) haijawahi hata kushiriki WCL na ndio maana huna habari nayo.
 
Ifikie wakati tuwe tunacheza bila kujali mwingine anatakiwa apate matokeo gani. Msimu wa tatu mfululizo hatujifunzi hiki kitu.

Na tusipojifunza msimu huu basi tusikasirike spurs anachofanya
Screenshot_2025-04-28-19-06-47-270_com.twitter.android-edit.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom