mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 3,101
- 5,378
Mmeshaanza kutoa mlioLooks like we didn't prepare ourselves for this match
Mmeshaanza kutoa mlioLooks like we didn't prepare ourselves for this match
TupoWenye kijiwe Chao wamekimbia
Uzuri wamekimbia wameacha benchi la kukalia kwahiyo Sisi tuko hapa watatukutaWenye kijiwe Chao wamekimbia
Tunashinda hii matchUzuri wamekimbia wameacha benchi la kukalia kwahiyo Sisi tuko hapa watatukuta
InagomaFawanews.com
Koora liveInagoma
Game onAsante sana psg kwa kuzpa somo tim za england Liverpool,villa,na huyu arsenal Waache dharau
Kila la heri mkuu Sisi tupo hapa either kuwapongeza or kuwazomeaTunashinda hii match
Tuko tayari Kwa yoteKila la heri mkuu Sisi tupo hapa either kuwapongeza or kuwazomea
Hivi mna uhakika huyu ndio Saka anayefananishwa na Palmer au kuna mwingine?
Mnakaona kalivyo kepesi kupanik
Mwaka Jana tuliishia quarter finalThis time cjui mtasema malengo yenu yalikuwa nn 😂