Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chief unamwili ambao nyongo yake haijafungwa vizuri, jambo kidogo ishamwagika.
Naona bado roho inakuuma. unadhani unadeserve ile nafasi?
Gape la pts 15 na bado tuliaminishwa ninyi ni macontender. Watu walifikisha points 97 na bado wakawa nafasi ya pili pia washafikisha point 92 na bado wakawa nafasi ya pili.
Hamna hiyo quality mnadanganyana humu ndani ndio maana watu kama kina Flano ,Labyrinth 84 , fuentte wamegeuza huu ni uzi wa kuja kuondoka stress zao za maisha.
No, Arsenal haideserve kombe lolote msimu huu.

Kama huu uzi unaweza kusaidia mtu kuondoa stress even better, maisha ni mafupi.

You get lost easily katika character observation. Ruka hiyo barrier.
 
Binafsi mimi sina amani kabisa kumkosa Thomas Partey,akiwepo dimbani team inabalance vizuri hata Declan Rice anakua huru kupanda kuongezea mashambulizi.Sijui nini kitatokea.
 
Kumkosa kwa T. partey inapelekea Rice leo atumike kama holding midfielder

Merino na Odegaard ndio wawe driving force of a team

Saka na Martinel speed yao ndio kila kitu kwenye game leo.

Trosad leo anaweza kutumika kama cheatcode

Expected lineup iko poa
IMG-20250429-WA0007.jpg
 
Anaitwa Julia Timber, anamaliza beki namba 2. Kitasa cha maana, kiboko ya mawinga.
Akiwa hana mali mguuni ndio hatari zaidi kuliko akiwa na mali
Hesabu zake za ukabaji ni physics tosha. Kila beki aliekutana na Timber basi dhamani yake sokoni lazima ishuke

Kwa kifupi Timber aka mbao ngumu au mninga ni taarifa ya hatari
IMG-20250410-WA0014.jpg
 
Timu itakuwa na balance, Lewis Skelly atakuwa anakuja kati ku reinforce midfield
lewis atakuja kati kati ku reinforce Midfield 😂😂😂 mna dhani psg ni everton uongo mtacheza tu mtakavyo

watu wanao jua mpira wanajua psg ni next level in quality vs arsenal kwa wakati huu na main cheat code yao ni vitinha yani mkimzuia huyu mmeipasua psg kati kati na kuondoka na ushindi mkishindwa mnapasuliwa nyinyi vibaya

week zilizo pita ilikuwa alison vs psg na akaibuka man of the match sasa hivi itakuwa zamu ya raya ukiona team man of the match ni kipa tafakari sana kwa umakini
 
Huyu jamaa aamshwe kabla hajaleta madhara, ....... maana hii ni ya kubwa kbs.
Jamaa anatumia logic ya semi final ya UEFA 😂😂

Kwa maana hiyo tukitumia logic hiyohiyo, Man city na Crystal palace ni two best teams in England?
Hawa watu bana 😂😂😂😂
 
Mikel Arteta has urged Arsenal supporters to transform the Emirates Stadium into a fortress tonight, insisting their energy is essential if the club are to finally conquer Europe.

IMG-20250409-WA0049.jpg
 
Expecting a big performance from Martinelli tonight ✊️
 

Attachments

  • 20250429_154728.jpg
    20250429_154728.jpg
    196.9 KB · Views: 15
Luis akiwa anahojiwa na Canal+ akaulizwa "Arsenal hua wanakua vizuri nyumbani, na hawajapoteza mchezo wowote wa CL nyumbani umejipangaje?"

Akajibu "Hiyo takwimu inavutia lakini hebu kaangalie wamecheza na nani?"

Mwandishi akajibu "Hata PSG pia mlifungwa hapo nyumbani kwao Emirates"
 
lewis atakuja kati kati ku reinforce Midfield 😂😂😂 mna dhani psg ni everton uongo mtacheza tu mtakavyo

watu wanao jua mpira wanajua psg ni next level in quality vs arsenal kwa wakati huu na main cheat code yao ni vitinha yani mkimzuia huyu mmeipasua psg kati kati na kuondoka na ushindi mkishindwa mnapasuliwa nyinyi vibaya

week zilizo pita ilikuwa alison vs psg na akaibuka man of the match sasa hivi itakuwa zamu ya raya ukiona team man of the match ni kipa tafakari sana kwa umakini
Hawa jamaa huwa wanafurahisha hao😂😂, utasikia sijui nani anaingia katikati, sijui mbio za saka na matinel😂😂. Wanaishia kulaumu refa na kujisifia wamepiga hatua next season ndio season yao😂. Hawa ndio walipaswa waitwe nyumbu mana akili hazijatofautiana na nyumbu.
 
Wazee mnazisikia hizi habari za Saliba to Madrid next season na ukizingatia hatuna replacement yake? combo ya Jakub and Gabriel itakubali?
Nilihisi hivyo nilivyoona Arsenal tumeextend mwaka mmoja badala ya kurenew mkataba kwa miaka 5 zaidi.

Hii inaweza kumaanisha kwamba ama tuchukue CL anabaki au tutie mpunga mnene
 
Hawa jamaa huwa wanafurahisha hao😂😂, utasikia sijui nani anaingia katikati, sijui mbio za saka na matinel😂😂. Wanaishia kulaumu refa na kujisifia wamepiga hatua next season ndio season yao😂. Hawa ndio walipaswa waitwe nyumbu mana akili hazijatofautiana na nyumbu.
😂😂 yani wanatumia scenario ya madrid kucheza na psg yani mimi tu nilijua madrid hana mpira wakufunga arsenal na nikaombea apite ili akutane na psg maana wote hawa wana quality sio class

ATTACKING

Madrid hawakuweza kuwa lethal kwa arsenal maana arsenal wana strongest backline kwahio hatari yao ilikuwa ni ngumu ku penetrate kwa kutokea kati kwa mbappe mpaka hapo usha mpunguza attacking dynamic ya team mpinzani wakawa wanatumia wing maana kwa kutokea kati mbappe hawez toboa...sasa hawa jamaa wanakutana na timu iko lethal in both area in the front Three yani wote ni pure wings wenye chemistry ya ku interchange kama false 9 wote hao lazima wata create chance nyingi hofu tu hawapo vizur kwenye finishing na hio inaweza kuwa downfall yao lakin kama leo wote wame amka vizur andaa game ya leo GG Lazima

DEFENSE

Yani ukuta wa madrid ulivyo mbovu arsenal wakapata advantage ya 2 direct free kick ambayo ilibadilisha tempo ya mchezo kuwa upande wao na kuongeza bao la mwishon tena kwa ubovu huo huo defense line ya madrid wameruhus magoli kipind cha pili dakika za jioni sasa hapa wanaenda kukutana na hawa jamaa pembeni MENDEZ * PACHO * MARQUIS* HAKIMI brooo hawa wana kaba wanashambulia balaa Liverpool game ya kwanza kwa psg kapata off target 2 on target 1 the mighty best team in the world against hao underdogs

MIDFIELDER

Hapa sitazungumza sana yani RUIZ*VITINAH*NEVEZ
Kwa ODE*RICE*MERINO Ahaha tungoje muda ufike wote tuburudike

HUU MPIRA TU NO HARD FEELINGS LAKIN ARSENAL WAJITATHMINI HIO CONFIDENCE YAO LEO
 
Back
Top Bottom