Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani Arteta ana dhambi nyie, cheki hii milio
 
Si tunataka UEFA, hayo mengine gombanieni wenyewe
 
Kichekesho ni kwamba mashabiki walilaumu baadhi ya wachezaji kutoanza na wengine kutochezeshwa namba zao so wakademand reform.

Carlo akawapa reform waliyoitaka.

Soon, akaanza kufanya sub za kutugea timu ya kwanza tuliyoipiga 3. Modric akapotea, Valverde akapotea.

Too much reliance ya long balls na cross za Vazquez ikaonekana ya kipuuzi. Akawa subbed off ingawa ni kapteni.

And then anahojiwa baadaye anasema kwamba kipindi cha kwanza Arsenal tulikuja kudefend hatukuja kucheza mpira. Mind you, kipindi cha kwanza kilichezwa kwa dakika 52 na Vardrid haikua na shot on target hata moja.

While Arsenal iliyokuja kudefend ikawa na shots on target 3.

Vardrid imetoka na big chance 1. Big chance yenyewe ni blunder aliyoifanya Saliba. Arsenal akazalisha big chances 3 akakosa 1.

I don't understand, why would you be talking the whole week ukitarajia kuitisha the best defense team in the world kwa long balls? Arsenal tumekuja hatuna ST na hatuna beki wetu partner wa Saliba Magalhaes.

Watu wanalia
 
Umerudi na ujinga wako, tukifungwa unakimbia.
 
Dah! Mkuu unajua mpiraaa
 
Ukiicheki Inter dhidi ya Bayern both legs nafikiri ndiyo sababu wengi wetu tunaihofia.

Inakubali kuconcede possession na inaweza kukufunga muda wowote.

Pavard, aliishi Bayern for years ila jana ilibidi awadisappoint waajiri wake wa zamani.
 
Mimi nilisharidhika na kufika nusu fainali tu yaani. Ikitokea tumetolewa sitalaumu na ikitokea tumevuka nitafurahi tu.
Hizi ndio mentality za mashabiki wa Arseno, timu lina miaka zaidi ya 20 halijabemba kombe lolote la maana, halafu mashabiki wake wanaridhika kabisa na kuona ni mafanikio makubwa sana kwa timu yao kuwepo top 4 kwenye ligi, na wakibahatika kufika nusu fainali Uefa kwao wanaona ni over achievement.
Ndio maana Kroenke's na Tetea wake hawana presha yoyote ya mafanikio ya hii timu.
 
Walileta timu yao ya wanawake ikaambulia kipigo pia.
Hawana hamu na Arsenal
 
Umeniudhi na sasa nafanya kama Hamisi nakupa laana usiingie top 13 ya EPL na leo Lyon akutoe ili usiingie Ulaya msimu ujao. Na kwa hasira hii hii, hili kombe tumeamua kuwa tunalibeba sasa.
 
Waambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…