Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama Real Madrid atapata goli ndani ya dk15-20 basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii😂😂😂😂
 
Juzi pia umesema barcelona ĺlikuwaga inatoa rushwa.
Mkuu inaonekana ni mtu wa lawama sana.
Sina shaka kwa haram football ya arteta akiamua kulicheza Bernabeu mnapita vzr kabisa.
Wakati naandika hiyo comment nilikua naangalia mechi ya Madrid na Alaves. Niliandika hiyo comment kutokana na kilichotokea uwanjani.

Niliitaja Barcelona kwakua ni mashtaka yaliyowahi kusemwa. Kama unafuatilia mpira utakua umewahi kukutana nayo.

Stay safe
 
Msimu uliopita dhidi ya Bayern hapo Emirates tulitoka 2 - 2.

Tulivyofika Allianz Arena tukafungwa 1 - 0.

Moja ya goli walilopata Emirates lilikua la penalty.

And Bayern were better in defence msimu uliopita.

Matokeo ya wiki iliyopita yamefanya Madrid kuongea non stop. Kila mchezaji anaandika kitu online au kwenye interview. I like that our players are quite ni sisi mashabiki ndiyo tunaongea
 
Nyie washika manati taabu mmejitakia wenyewe tuliwaambia madrid mmfunge goal moja tu ili kuepusha aibu ya karne kule benabu


Sasa nyie na vigoal vya bahati bahati kutenga mkachokoza wakubwa

Haya lile zee Perezi limeamuru paaa la uwanja kufungwa ifikapo jumanne jioni 😅😅😅😅

Yaani hakuna kima kukatiza😅😅😅😅

Madrid 9-0 manati 😅😅😅😅😅😅😅
 
IMG_0620.jpeg
 
🎶Nanyea kambi, kisha najitawazia magwanda🎶

Naona Haters wamekuja kwa kasi ya ngiri, subirini kesho mtafurahi
20250409_051157.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom