unknown guy
Senior Member
- Aug 26, 2024
- 119
- 109
The gunners
Ata tukisema mashabiki wa arsenal tukae kimya kuna watu tayari wameununua huu ugomviLeo watu watafocus na hate watching![]()

Afu wewe umetoa 3.5 home team🤣🤣Mpe away ov 1.5
Weka salary advance 😂😂😂
Yacine tvWakuu naomba kufahamu kama azam wataonesha hii mechi
Mchezo hautaki hasira, akili tu 😂😂😂Afu wewe umetoa 3.5 home team🤣🤣
Madrid anadhani kila wakati uefa Bahahati inamfuata. Ila akitangulia kufunga goli la kwanza kabla ya dakika 15 labdaMimi ni united , kusema kweli Inahitaji uwe na timu Ili kumfunga arsenal, bahati kwenye mpira ipo lakini haiji mara nyingi na Kwa jinsi ninavyoiona Madrid kwenye mechi kama nne zilizopita, kama basi watakuwa vile vile basi ni kichaa pekee ndo anaweza sema Madrid atamtoa arsenal Leo...Kwa kuwa united hatuna timu, binafsi nawatakia ushindi Arsenal.
Madrid all the wwyMadrid anadhani kila wakati uefa Baha'i inamfuata
Watu watasema huyu ni Flano uvumilivu umemshindaMimi ni united , kusema kweli Inahitaji uwe na timu Ili kumfunga arsenal, bahati kwenye mpira ipo lakini haiji mara nyingi na Kwa jinsi ninavyoiona Madrid kwenye mechi kama nne zilizopita, kama basi watakuwa vile vile basi ni kichaa pekee ndo anaweza sema Madrid atamtoa arsenal Leo...Kwa kuwa united hatuna timu, binafsi nawatakia ushindi Arsenal.
NEnda soko la Mwananyamala kwa kopa nunua kaniki na tunguli upige pesa kwa kufanya utabiriNilisema hakuna english team itakayo beba ubingwa uefa.
50% of my prediction is due, leo nakamilisha nusu iliyobaki.
Hah, nmeangalia sana mechi za Arsenal, Liverpool, Barcelona msimu huu. Lakini Kwa Arsenal ni aidha umshinde kwenye mbinu (Hili ni ngumu sana) au umfunge Kwa janja janja kama tunavyofanya sisi united kwa baadhi ya timu kubwa, msimu huu Arsenal Iko tofauti sana, huwezi mfunga goli nyingi hivyo.Watu watasema huyu ni Flano uvumilivu umemshinda
Mkuu sijaona aliyepindua kipigo cha 3 bila hapo.goli 3 ni nyingi ukiwa ugenini, ila ukiwa kwako sio nyingi kabisa, hata Villa na Dortmund wanalijua hilo.
Madrid mcheza kwao leo hutunzwa. View attachment 3305889