Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Arsenal tunataka ubingwa


Kila msimu nyie ni mabingwa wa kombe la Emirates.Arsenal tunataka ubingwa


Kila msimu nyie ni mabingwa wa kombe la Emirates.Nyumbu Leo mnasumbuaKila msimu nyie ni mabingwa wa kombe la Emirates.
Kumbe na msimu huu wameshachukua na kombe na hawasemi![]()


Mambo ya Tetaball hayo, unaambiwa Tetea ndio kocha mwenye makombe mengi kuliko kocha yoyote aliewahi kufundisha Arsenyo, wakikufungulia kabati lao kuna kombe moja la FA na makombe 6 ya Emirates, Tetea apewe mkataba wa kudumu Arsenyo, Epl yote hakuna wa kumzidi kimbinu.ChukueniArsenal tunataka ubingwa
Acha niwatetee wana Gunaz,liverkuku kamnyanyasa asenali kipnd kifup cha klopp tu …..otherwise liverkuku kapigwa vzur tu na GunazYaani kipindi kifupi pekee ambacho Arsenal kamnyanyasa Liverpool ni kile Cha 2002-2006 mfano Ile mechi Thierry Henry anawapunguza kina Carragher na kumzunguka Dudek mechi ya 4-2 msimu wa invisible
Na Ile ya Julio Baptista kufunga harttrick Anfield ushindi wa 6-3 kombe la Carling(Sasa Carabao) msimu wa 2005/06
Nje ya hapo ni vipigo vya paka kakomba mboga yaani 5-1,4-0 za kutosha ikiwemo Ile ya msimu wa 2013/14 ambapo ndani ya dk 20 scoreboard ilikuwa inasoma 4-0 kiasi Cha camera kumuonesha Colsieny anatoa machozi kwa mechi iliyoisha 5-1
kama tunataka ubingwa asiachwe mchezaji yoyote,lig ni ndefu,cha muhimu waongeze watuSidhani kama ni busara kumuachia January kiwior halafu tukabaki na zinchenko.
Kwangu Mimi Jakub namuona asset zaidi kuliko zin na ukizingatia na majeraha na wingi wa mech after january
Pale tumeayatimba broHivi rahim Sterling mkopo wake hadi may?
Asipoelewa na hapa...Nilichoandika ni kweli kipindi hicho nipo deep na ushabiki wa mpira kulikua na shabiki wa liver alibisha kama wewe.
Kazi ikawa ni kuprove mara ngapi Arsenal kamaliza juu ya liver kabla ya 2017 au 2018, alivyoona ukweli akakaa kimya. Hauna haja ya kubisha kama memory yako inaishia hapo 2000 na hizo hat tricks.
Andrey Arshavin aliscore magoli manne dhidi ya liver, unajua kama kuna hichi kitu?
Elewa kitu hichi, kipindi tupo on fire liver ilikua hovyo (hichi ni kipindi chote baada ya transformation ya Wenger) liver imekua vizuri Arsenal tuko hovyo (miaka 3 baada ya Klopp kuja)
Hatujawahi kugombea mchezaji wala makocha wetu kutukanana. Hatujawahi kugombea crown kwa pamoja ukilingaisha na united. Wako juu tupo chini, tupo juu wako chini.
Huyu jamaa ana asili ya ubabeJumatano tunaendelea tulipoishia.
View attachment 3167226
Mhuni wa BrazilHuyu jamaa ana asili ya ubabe
We ukiona sisi tunakupa mchezaji tafakariPale tumeayatimba bro
Matapeli tu nyieWe ukiona sisi tunakupa mchezaji tafakari
🤣🤣🤣🤣Matapeli tu nyie


Hapa Arsenyo ndio tayari ameshaaga mashindano ya FA, akibisha amuulize liverpool nini kilimkuta msimu ulioisha na kombe tukabeba. Hapa Arsenyo ndio tayari ameshaaga mashindano ya FA, akibisha amuulize liverpool nini kilimkuta msimu ulioisha na kombe tukabeba.
Tena msimu ulioisha Utd ilikua na msimu mbovu kuliko misimu yote.
Man Utd sasa hivi hatucheki na yoyote.