Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,231
- 76,752
Hata wangekua nao ingesaidia nini?Hawa tunawabaka leo
Hata wangekua nao ingesaidia nini?Hawa tunawabaka leo
Amka usije ukanya kitandaniitakuwa siku nzuri sana kama man u akila 5+ kisha liver akapoteza, man city akafungwa tena aendelee kustay humble
😅😅😅 yaan nyie, munachekesha sana.Uwezo wa kumaliza mechi zilizobaki mwaka huu bila kufungwa tunao, simple yani
wewe hata 4 tu mjawai kutufunga kazi kupiga mdomo tuitakuwa siku nzuri sana kama man u akila 5+ kisha liver akapoteza, man city akafungwa tena aendelee kustay humble
Mkuu una uhakika hamjawahi kufungwa 4 na Arsenal au unafurahisha genge tu?wewe hata 4 tu mjawai kutufunga kazi kupiga mdomo tu
mtapigwa like burukenge
View attachment 3168973
Halafu we muzee tuko pamoja na kule. Wewe ni mtu muhimu sokani.Tuwapige nyumbuz Leo
Ni kuwapa kipigo cha mbwa mwizi
Hao n walipokaji, vipigo vizito nyumbu kapigwa sana tu na arsenalMk
Mkuu una uhakika hamjawahi kufungwa 4 na Arsenal au unafurahisha genge tu?
Unajua iliwachukua miaka 59 kuja kulipa kisasi cha goli 8?