Arsenal na Liverpool for decades ni tuna gentlemanly rivalry. Hatusumbuani nao kama Spurs, Kenge na Nyumbu, yawezekana ni kwa vile hatujawahi kua kwenye kugombea nao trophies for years kwakua kipindi tupo on fire wao walikua worse, wao wapo on fire sisi tulikua worse
Leo wapate suluhu tu mengine tutajua huko huko. Baadhi ya mashabiki wanasema ni bora ashinde Liva na siyo city kwakua ukimpa city confidence atakuumiza in the long run.
Wengine wamepoint bora suluhu. Ila kwa jinsi City wanacheza siku hizi na transition ya liva ilivyo sasa Liva wanaweza kushinda. City akirudia kucheza jinsi alivyocheza nao msimu nyuma, kuwasusia possession, itakua suluhu ya wazi.