lakini Kai vs Jesus bora KaiAlichofanya Jesus hichi cha dakika ya 87 Kai hatokuja kufanya
Ni baada ya kurudi Kwa Ødegaard, pamoja na weakness zake Kwa baadhi ya mechiGames 3 magoli 13
Na hili ndo ugonjwa uliowaondoa the likes of nelson,Emille smith na wengine.Starting 11 yetu wakitoka 3 wakiingizwa 3 wa benchi timu inacheza kama hua hawawi wote mazoezini.
Hii inasababisha mchezaji wa starting 11 akipata majeraha basi ushindi kwetu unakua changamoto.
Angalau eneo la 6 wanajitahidi kuziba gaps namaanisha Partey na Jorginho. Lakini Odegaard kawa majeruhi na timu inastruggle na nje hakuna mbadala, on paper Sterling anatakiwa aweze kufanya kinachofanywa na Odegaard lakini hapana, kenge walikurupuka na sisi tuliiwahi late signing tukiamini tutabenefit na uzoefu wake.
Mpaka sasa amebenefit Nwaneri kwa kupata goli la kwanza la ligi, kitu ambacho Antony wa nyumbu aliyenunuliwa kwa 80M hana.
Mkuu tafadhali, usiwatishe jamaaIla nyumbu kaangukia wakati mbaya, first eleven imekamilika, tuna momentum, tuna confidence, game inachezwa Emirates, anaweza kula mkono km wenzie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mashabiki wa Arsenyau ndio maana hua tunasemaga kuna baadhi ya fuse zimeungua kwenye ndonga zenu(hizi ni akili za mashabiki wa mid table team)Erik kichwa ngumu alitufunga game yake ya kwanza nyumbu wakaamini sasa wamepata kocha.
Wakaanza kumfananisha na Arteta [emoji28][emoji28] same mistake they made walipomfananisha Ole na Arteta. Viazi vingine vilimfananisha Lampard na Arteta, Potter na Arteta, De Zerbi na Arteta, Ange na Arteta.
What followed ni hao wote kufukuzwa isipokua huyu Ange ila wameshaacha kumfananisha na Arteta. Kenge wamejifunza Enzo anawapa matokeo ila hakuna aliyemfananisha na Arteta, labda kwakua hata Enzo mwenyewe anakubali kwamba kwa sasa wapo nyuma kiubora kulinganisha na Arsenal.
Ile game aliyoshinda Erik Kichwa Ngumu nadhani ndiyo ilisababisha Lokonga atafutiwe mkopo. Wakati tunamnunua Vincent Kompany alisema tunampata Vieira na Fabregas ndani ya mtu mmoja.
Pengine amekosa sana game time ila hajafikia matarajio