Kajunjumelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2024
- 220
- 241
Nielewe Kama ifuatavyo..Ni hivi hiyo gentleman rivarly unayoisema inatokana na unyonge wa Arsenal kwa Liverpool,kwa sababu fierce rival huchangiwa na tension of game,not otherwise...Sasa kwa mfano hivi unajua kwa zaidi ya miaka 10 Arsenal haijashinda mechi Anfield,wakati Liverpool kushinda Emirates ni Jambo la kawaida Tena kwa idadi kubwa ya magoli..5-4,3-1,2-0 nk??Itakua kuna sehemu sikuelewi.
So ili rivalry ije unahisi nini kingekuepo kingeleta rivalry?
Nimeongelea magoli ya mchezaji mmoja siyo matokeo ya mechi