Kapata kadi ya kipuuzi sana. Ni kama alikiwa overrated, Bora hata Cole PalmerHuyu Foden anazidi kua chura
Flano anajifurahisha tu ila ukweli anaujuaMkuu, sie Bado tunajenga timu Hawa arsenal sio wenzetu kabisa.
Fimbo utakazochezea j5 kama sio miguu ya stuli basi mkono[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu ulipotea sana mpaka nikahisi tayari umeshatupa manyanga na kuamua kuungana na boss wako Masingeli.
Humu alibaki chawa mmoja tu wa kuitwa mkorea tena kachezea spana za kutosha mpaka ikabidi mwenyewe aombe radhi na kujitetea kua ni Masingeli ndie aliekua anamshikilia akili yake, anadai kipindi kile hata yeye mwenyewe alikua hajitambui vizuri alikua anajikuta tu ameshaandika comments za kumsupport na kumuunga mkono Masingeli bila ya ridhaa yake.
Anadai Masingeli huenda alimtumia kwa nguvu za giza pasi na hiari yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Hamis 7 masingeli yule tapeli wa mkuranga aliishia wapi ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu ulipotea sana mpaka nikahisi tayari umeshatupa manyanga na kuamua kuungana na boss wako Masingeli.
Humu alibaki chawa mmoja tu wa kuitwa mkorea tena kachezea spana za kutosha mpaka ikabidi mwenyewe aombe radhi na kujitetea kua ni Masingeli ndie aliekua anamshikilia akili yake, anadai kipindi kile hata yeye mwenyewe alikua hajitambui vizuri alikua anajikuta tu ameshaandika comments za kumsupport na kumuunga mkono Masingeli bila ya ridhaa yake.
Anadai Masingeli huenda alimtumia kwa nguvu za giza pasi na hiari yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamesha pigwa kakaLiverfools wapigwe
🤣🤣🤣🤣Erling Humbleland anazurura tu kwenye games kubwa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sijajua arsenal lini atachukuabubingw. Kuna siku niliwahi kusema kuwa Chelsea atarudi kwenye form na kuchukua ubingwa kabla ya arsenal ambayo kila msimu yilupo on fire.....Title contender.....every year[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu hawa Arsenyau ni wa kwenda nao tu hivyohivyo, hawa sio wa kuishi nao kinyonge, hapa kwenyewe wana wasiwasi kwelikweli na mechi yetu.
Hizi kima kwanza hua hazijiamini muda wote zimesimama mkia juu kama ngiri, ukizikurupua tu kila mmoja anakimbilia chocho yake.
Bora sisi nafasi ya tatu. Hatuna cha kupoteza ninyi mnajisikiaje mkipoteza ubingwa na msimu huu?Kwahiyo kua nafasi ya tatu mnaona mmemaliza
Arsenal tunataka ubingwaWamesha pigwa kaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyo ni kama mkia wa mbuzi, umeumbiwa kusimama juu sio kuficha uchi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijajua arsenal lini atachukuabubingw. Kuna siku niliwahi kusema kuwa Chelsea atarudi kwenye form na kuchukua ubingwa kabla ya arsenal ambayo kila msimu yilupo on fire.....Title contender.....every year
Kumbe na msimu huu wameshachukua na kombe na hawasemi😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyo ni kama mkia wa mbuzi, umeumbiwa kusimama juu sio kuficha uchi.
Miaka yote wataendelea kua wapenzi wasindikizaji tu, wenyewe wameridhika na makombe ya Emirates[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3166839View attachment 3166841View attachment 3166842
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kila msimu nyie ni mabingwa wa kombe la Emirates.Arsenal tunataka ubingwa
Nyumbu Leo mnasumbua[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kila msimu nyie ni mabingwa wa kombe la Emirates.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mambo ya Tetaball hayo, unaambiwa Tetea ndio kocha mwenye makombe mengi kuliko kocha yoyote aliewahi kufundisha Arsenyo, wakikufungulia kabati lao kuna kombe moja la FA na makombe 6 ya Emirates, Tetea apewe mkataba wa kudumu Arsenyo, Epl yote hakuna wa kumzidi kimbinu.Kumbe na msimu huu wameshachukua na kombe na hawasemi[emoji23][emoji23][emoji23]