Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji16][emoji16][emoji16]Acheni basi..., zile pwenti tatu za waziwazi tuuu...
Yaani mnataka kuleta maneno kama vile kuna mechi na nyie wakati ni uji uji tu.
[emoji16][emoji16][emoji16]Acheni basi..., zile pwenti tatu za waziwazi tuuu...
Yaani mnataka kuleta maneno kama vile kuna mechi na nyie wakati ni uji uji tu.
😂😂😂😂[emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna kitu kafanya ambavyo kai ajawai kufanya?Jesus hajaanza PL mechi for god knows how long, unataka kumlinganisha na Kai aliepewa trust na muda ku adapt?
Of coarse during the game he had his moments huwezi kusema kaharibu, unaona kabisa passing game yake ni nzuri and how he connects with his teammates (like that move from the flank with Ødegaard).
[emoji23][emoji23][emoji23] sio mechi 10 mkuu, ilikua bado mechi 8 na ubingwa hawakupata.Liverpool Wanaongoza Ligi kwa tofauti ya point 8 huu mwezi November
Hapa ndio tutaona tofauti ya timu kubwa
Liva hawezi kufikiwa kirahisi tofauti na Asenyeto waliongoza point 8 bado mechi 10 na ubigwa ukakosekana
Tumeichukua hii ili tukuoneshe itavokua.Liverpool Wanaongoza Ligi kwa tofauti ya point 8 huu mwezi November
Hapa ndio tutaona tofauti ya timu kubwa
Liva hawezi kufikiwa kirahisi tofauti na Asenyeto waliongoza point 8 bado mechi 10 na ubigwa ukakosekana