Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,311
- 2,570
Najua furaha yako ipo arsenal, endelea kuenjoyEdo Kumwembwe mwenyewe hua anasema alianza kua mlevi baada ya kuanza kushabikia Arsenyau, anadai pombe pekee ndio inayompea faraja kila anapoumizwa na matokea ya timu yake, hivyo kuna kamstari kembamba sana kanakoitenganisha Arsenyo na ulevi.
Wale mashabiki wa Arsenyo wasiotumia kilevi ndio hua wanaishia kujitundika.
Hata hapa kitaani kwetu walevi mbwa wote ni mashabiki wa Arsenyau.

