Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Trosad ndi game zake hz za kutokea sub
Jesus
Merino
Nwaneri
Sterling

Tunahitaji goal 2 za mwisho
 
Hawa jamaa tunawakabia juu, tunapata chance nyingi sana pale mbele so tuzitumie vizuri.
Defense naona timu yote inazuia so tukikaza tunaondoka na ushindi.
 
Hadi HT
Sporting 0 vs Arsenal 3
Dk za nyongeza 46
Magaheils
Assist Rice mpira wa kona
 
Nani haiogopi Asenaliiii?
Isingekuwa dhulma na njama hasi dhidi yetu, tungekuwa tunaongoza ligi zote za nyumbani na barani mpaka sasa. Ila tunapambana na tutapambana mpaka kieleweke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom