Daaaah ila banda umiza
Eti "Mi ndo kama kocha, hapa Jesus hapa Kibu Denis. Naanza na Kibu kila mechi."


Hamna mchezaji anaweza kuwa mzuri na kuitwa jina bovu la mitishamba kama hilo , wtf is " Nwaneri "Nanweri ni mchezaji mzuri mno
Hujui mpiraHamna mchezaji anaweza kuwa mzuri na kuitwa jina bovu la mitishamba kama hilo , wtf is " Nwaneri "
Hamna kitu hapo
Takataka hiyo ,uzeni kule championship !
Yaani Brighton ,Notingham ,wolves wanakufumua ngumi za chembe kidevu ndio ujidanganye kuja kujilinganisha na sisi wewe na hilo timu lenu la walevi ?Hawa chelsea, liva na city kama hawajatufunga hizi first leg second leg watatoboa kweli?
Hivi sisi na ninyi kwenye msimamo wa ligi nani nyumbu ?Hujui mpira
Komaa na timu lako nyumbu fc
Epl Kuna errors nying sana za marefa aseeNaona la liga wanachoongeza ni ile close up but mstari upo
Kuna mtu humu uwa analalamika aanze Jesus Leo nadhan atakuwa kapata majibuDaaaah ila banda umiza
Eti "Mi ndo kama kocha, hapa Jesus hapa Kibu Denis. Naanza na Kibu kila mechi."
Jesus hajaanza PL mechi for god knows how long, unataka kumlinganisha na Kai aliepewa trust na muda ku adapt?Kuna mtu humu uwa analalamika aanze JesusLeo nadhan atakuwa kapata majibu
Same here...., the guy is so humble, so calm, hardworking and intelligent...Partey, namkubali sana jamaa. Huwa natamani tubebe kombe tukiwa naye.
Ni mtamu zaidi ya kisheti, anajua sana boli,Partey, namkubali sana jamaa. Huwa natamani tubebe kombe tukiwa naye.
Mpige makofi huyo kenge, polisi nitakuja kukutoa mimiDaaaah ila banda umiza
Eti "Mi ndo kama kocha, hapa Jesus hapa Kibu Denis. Naanza na Kibu kila mechi."
Kwangu hajaboronga, hajawa kwenye ubora wake, lakini ni bora yeye kuliko kaiNo way utasema Jesus kaboronga.
Kama unajali fluidity ya game ndiyo utaona kwanini timu ikifeli ni rahisi kumuona Kai kama mzigo
Same trust iwe afforded kwa Jesus.Kwangu hajaboronga, hajawa kwenye ubora wake, lakini ni bora yeye kuliko kai