Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Librarian katika ubora wako

Hopo bado hujawaweka kina Benacer, Sagna, Clichy, Martinez, Vela, Vieira, Sanchez....
Hivi mna habari yoyote ya dogo Chido Obi-Martin kweli?
Dogo tokea atue Utd ni anakiwasha kwelikweli.
Huyu dogo ndani ya misimu miwili ijayo tunamuhamishia timu ya wakubwa ili tupate kuwacheka vizuri.
images-13.jpg
1731678056925.jpg
 
| Robin van Persie:

“I don’t expect to work at Arsenal. I think that is closed, because of my switch to #mufc... It is still sensitive for them, not for me — it is especially sensitive for the Arsenal fans.”
 
Najua tunashauku sana na makombe ila msijali,tutayapata,kiu ya makombe isiwasahaurishe kwamba msimuu huu tuna timu nzuri sana
Mwamba hizo hamasa unazozileta hapa alishazileta Masingeli miaka 3 mfululizo iliyopita na akaamua kusurrender bila ya kushuhudia timu yake ikibeba hata kopo achana na kombe.
Kumbuka ushawishi wa Masingeli kwenye hili jukwaa ulikua ni next level, ilifikia kipindi mashabiki wa Arsenyo humu matarajio yao yote yalikua yanaelekezwa kwa Masingeli na sio uhalisia wa timu yao, humu ndani shabiki yoyote wa Arsenyo aliekua anampinga Masingeli alikua anahesabika ni mhaini.
Pamoja na ushawishi wote lakini ilifikia kipindi yeye mwenyewe akaona uhalisia wa timu ulivyo hakuna uwezakano wowote wa Arsenyo kubeba kombe kwa kipindi cha miaka 20 mpaka 30 ijayo akaamua kula kona na kuwaacha wafuasi wake gizani.
Hakuna yoyote anaekatazwa kushabakia Arsenyo, ila ni sumu kubwa sana kwa afya yako kuweka matumaini kua arsenyo itachukua kombe, hata ukimsikiliza dokta Janabi hua anatahadharisha sana kushabikia Arsenyo kwa mustakabali mzima wa afya ya akili pamoja na moyo wako.
1714323297486.jpg
 
Kai nilimkataa mapema saana, viwango vya kina martinelli ni mashaka, najiuliza saka ukimpeleka pale westham ama Everton atakuwa saka huyu, timu inahitaji kuboreshwa, inahitaji wachezaji wa daraja la juu, wachezaji na kocha wenye njaa na makombe.

Msimu ule liver wako hoi, man city tumemuacha gape kubwa la pointi nikasema tukikosa kombe msimu huu tusitarajie ndani ya misimu ijayo tutalipata kirahisi, alikuwa sijui ni will yule ama nani, alinipinga na kunitoa akili, lakini kile nilichokiona ndio tunakipitia...
Wazee wa dark arts boko haramu football Tuongezeeni pesa kidogo kwa streka la bolu kai havertz mr. Champions league.....streka miguu mirefu km beki anayejichubua kuliko wote pale utopolo bwana boka😂
 

Attachments

  • IMG_20241118_193319_862.jpg
    IMG_20241118_193319_862.jpg
    116.3 KB · Views: 14
Nyie KENGE...ligi imesimama mmeanza kunenepa. Angalieni own goal ya kakocha kenu ka mchongo. Eti "trust the process" Pumbaf.
 

Attachments

  • Screenshot_20241121_223736_Facebook.jpg
    Screenshot_20241121_223736_Facebook.jpg
    234.2 KB · Views: 11
| Robin van Persie:

“I don’t expect to work at Arsenal. I think that is closed, because of my switch to #mufc... It is still sensitive for them, not for me — it is especially sensitive for the Arsenal fans.”
Hakuna anayeongea kuhusu RVP, ni yeye ndiye anayeongea kuhusu Arsenal kila siku, anachoumia ni kucheza miaka mingi lakini hatumuoni kama legend
 
Hatimaye mmekakatia tamaa katimu kenu. Misimu miwili nyuma siku moja kabla ya match day mlikuwa mnaandika uongo mwingi sana. Lakini leo hii hamtoi hata predicted Line up yenu wala kuongelea mpira kwa uhuru.

Mnarudi kwenye default kabla hata hamjapata mafanikio ya kunyanyua kwapa wala carabao kama super 10Hag
 
Hatimaye mmekakatia tamaa katimu kenu. Misimu miwili nyuma siku moja kabla ya match day mlikuwa mnaandika uongo mwingi sana. Lakini leo hii hamtoi hata predicted Line up yenu wala kuongelea mpira kwa uhuru.

Mnarudi kwenye default kabla hata hamjapata mafanikio ya kunyanyua kwapa wala carabao kama super 10Hag
Miezi michache nyuma hapo siku kama ya leo lazima ungewakuta wanaisifia dark boko haram arts football...sahv uzi upo kimya km wapo kwenye msiba kweli back to default settings🤣🤣🤣
 
Anyway, here we are against Nottingham.

Hawa wana tuko nao points sawa. Tupo nafasi moja juu yao kwaajili ya magoli.

Msimu huu Arsenal tumeshindwa kuscore magoli mengi. Tumekua wabovu kucapitalize opponents' mistakes na kuona necessary runs za magoli.
 
Kama arsenal ni nyoka, wewe ndio kichwa chao. Ila natumaini baada ya game ya forest nawe utapotea kabisa kama akina HENRY14 na mkorea
Dah 😅

Fuentte mimi nipo hapa wayback watu wanamtukana Emery, akaja Ljungberg.

Hashtags za ArtetaOut mimi nipo. Lacazette anaanza kuscore against Liver kisha tunanyooshwa.

Lukaku anarudi PL na ikasemekana watatuburuza Mimi nipo. Tunashinda mechi moja kati ya 10 mimi nipo

Hatujascore mwezi mzima goli bora linakua la penati mimi nipo.
 
Back
Top Bottom