Brother!Tunaendelea
Hii game unaichek TBC?Dakika ya 30 moto wa Arsenal umepungua makali Lisbon wanainuka. Ngoja wapigwe kaunta kiingie chuma cha 3
Brother!
Hope you good.
Do you have any link? Where I am it's a disaster
Wamepigwa na oreshnik missile kipindi cha kwanza🤠🤠🤠Sporting wanalaumiana