Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
TUMEKUNYUNGWA
Hatupo serious hamna ubingwa humu hii team ilishalaniwa.


Tafuteni kocha wa kueleweka, huyo Tetea wenu hawezi kuwafikisha kokote, kila msimu nyie mtakua wasindikizaji tu. Mtaniua leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Beki wa timu ni Ben Kinyaia halafu mnategemea mwisho wa msimu timu ibebe kombe, hivi mnakuaga serious kweli au mnajijua kua mnafanya comedy show? View attachment 3130230
Aser8 ikicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowana wakitingisha wowowoo huku wakisema Bournemouth chukua yote yako.



Hawawezi kutusapoti sisi hata kidogo labda nyieNyie vilaza kesho wote mui support Cheltako tumeelewana nyie kenge.
🤣🤣🤣Masikini hawa viazi kesho hawajui wakae upande gani chelsea au liva.
Una shida mahala,ushabiki gani wa kijinga kiasi hiki? Kwaiyo kichwani mwako umejaza kinyesi sioUkitaka kujua hawa jamaa wanashida mahali, watakuja kudiscus hapa kuwa marefa wanawahujumu kwa kuwapa red card utafikiri red card wanapewa Arsenal peke yao, timu nyingine hazipewi red card.
View attachment 3130281
Nyie Mabeki wa kueleweka ndo hao kina siliba na kwio 😂😂😂😂😂Wasipochukua Man City kombe mtabeba nyny mkuu🤠🤠🤠....maana unawashwawashwa sana kuona tunateleza ila wapi....nakukumbusha siku za kulipanq deni zinakaribia....TAfuteni kipa na mabeki wa kueleweka....hatutaki lawama siku hyo