Yaani nyie sijui mnawazaga nini? Kwa hiyo mnahis wasipobeba ubingwa City basi mnabeba nyie. Bado mpo msimu uliopita. AmkeniOn paper tuna fixture ngumu ya games tatu zinazofuata kuliko city.
Hii ni kwa kuzingatia majeruhi pia kwa timu zote mbili.
View attachment 3124144