Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,489
- 35,640
Genge la wahuni arsenyeto
Nyie Mabeki wa kueleweka ndo hao kina siliba na kwio 😂😂😂😂😂Wasipochukua Man City kombe mtabeba nyny mkuu🤠🤠🤠....maana unawashwawashwa sana kuona tunateleza ila wapi....nakukumbusha siku za kulipanq deni zinakaribia....TAfuteni kipa na mabeki wa kueleweka....hatutaki lawama siku hyo
Tulia wewe ngombe dawa ikuingie, punguza makasiriko. Mbona picha haiusiani na mada niliyoandika.Una shida mahala,ushabiki gani wa kijinga kiasi hiki? Kwaiyo kichwani mwako umejaza kinyesi sio
Ila we jamaa umenifanya nicheke kwa sautiNyie Mabeki wa kueleweka ndo hao kina siliba na kwio 😂😂😂😂😂
Mimi nae nishawaza sana.Online naona watu wanasema tukate rufaa red ya Saliba, hoja ni kwamba mbona kwenye game ya Chelsea same scenario imetokea na haijatoka red?
That's bullshit. Kabla hatujalaumu external factors huku ndani how do we make sure tunashinda? Jinsi tumecheza juzi ni timu inayotaka ushindi?
Nwaneri kuanza kuna shida gani?
😅 Jogoo likakupandaTumewapa Sterling alafu tumemchukua sancho,tumewauzia kai tumemleta Nkuku kwa hizi biashara team yao itakuwa ya mafungu na ndio maana nina uhakika Chelsea tutabeba kombe kabla yao na wewe jogoo subiri kesho kuchinjwa
Dah 😅
Naona kumeanza kuchangamka. Well put.Kwa kawaida hua sitabiri mchukua kombe kabla ya msimu au mwanzoni ila kwa msimu huu sioni tukiwa hata washindani.
Kwa kuandika hivi namaanisha pia inatakiwa tuwe na conversation ndogo tu na tujiulize "Mbinu za Arteta zimefika mwisho?"
Misimu miwili nyuma timu zilikua hazitufanyii high pressing kwa kuhofia, msimu huu timu nyingi hazijahofia kufanya high pressing, tunaweza kusema ni kwa vile hatuna Martin na wachezaji wengi viwango vimekata na wengine majeruhi.
Ok sawa. Kocha na benchi lake wameshindwa kujua tuchezaje ili kuoptimise strength ya waliopo? Kwa kuandika hivyo namaanisha pia kocha na benchi lake hawajawahi kujiuliza struggling inakujaje tukiwa pungufu?
Kwenye mechi ya UEFA Chelsea dhidi ya Ajax. Ajax anagewa red ya kwanza anazidi kumbonda Chelsea ikatafutwa red ya 2 ndiyo chelsea akasuluhu ile mechi. Kisheria wachezaji wakiwa chini ya 7 mechi haichezwi.
This means ili kushinda unahitaji wachezaji 7 tu na Kipa wa nane. Katika mechi 19 tulizocheza pungufu tumeshinda 3 tumesuluhu 8 zilizobaki kipigo. Shida ni kwamba hiyo suluhu inatafutwa kinyonge mno.
Maximo kocha wa Taifa Stars alikua ana tabia ya kuchezesha timu na wachezaji pungufu ili kuwapa uzoefu ikitokea scenario ya red card. Formation ni 4 3 3 na tushaona formation ambayo ni 5 3 2 na tushaona 4 2 4 this means mtu mmoja kutoka haitakiwi kua changamoto. Kwakua mid 2 wanatosha na forwards 2 wanatosha vilevile. Ila unahitaji mtu wa kuweza kuhama na kijiji.
Unahitaji forwards za kuhama na kijiji. Ambazo zitafuata box na siyo kulikimbia means unamhitaji Sterling na Jesus au Trossard na Martinelli. Kazi inaonekana ngumu kwakua Kai hana akili hii.
Cheza 4 3 2 ila hawa 2 wawe mbele ya box na siyo kule kwenye wings. Benchi ni shit kushindwa kuona vitu basic. Ni upuuzi
Refa pia kawasaidia😅 Jogoo likakupanda
Nakukatalia. Redcard ya Saliba ilikuwa sahihi. Swali ni vipi mchezaji mzoefu unavuta shati la mchezaji mwingine dakika ya 30? Angendelea kumkimbiza na pengine kumhamishia pembeni. Hata kama angefunga goli, most likely lingerudi with 11 vs 11Mimi nae nishawaza sana.
Red card haziepukiki kwa uchezaji wetu.
Kocha afanye mchakato wa kuifundisha timu kuwa na mentality ya ushindi hata tukiwa pungufu kwa sababu naona kuwafundisha kuwa na discipline imemshinda.
Kama tunataka title ni tusiwe tayari kupoteza game kwa hali yoyote, inabidi wapinzani wetu ndio wawe wanahangaika kutafta hata draw na sisi .
COYG.