Ila hili Jina la kiwiko linanifurahisha sana 😂Beki kiwiko sijui kiwior eti ubebe epl🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kepa ni master ,utamlinganisha na huyu pimbi wenu ?Leo kuna timu tatu mchezaji mmoja kapigwa red.
Tujiangalie hapa. Anyway, I think tunaingia kipindi ambacho tunahitaji kushinda magoli mengi ila bado hatuna watu wa kustep up au bado tunaitafuta rhythm.
Shida ni kwamba muda wa kutafuta rhythm ukifika unakuta tuna majeruhi. So tunaona bora tutafute ushindi kuliko kuukosa kabisa.
Kwenye orodha mpya ya majeruhi tuna Saka na Timber.
Merino na Sterling wanaanza leo, hopefully Sterling kaona makosa yake kutokea mara ya mwisho aliyocheza. Ila kusema kweli jamaa hajawahi kujifunza kuanzia namjia hadi leo.
Tumuone Kepa
Maanina leo Kenge mkitoka salama mbele ya vijeba Bournemouth nakunya mavi toka Mwanza hadi mkuranga
Pumbafu ,piga mbuzi hiziiiiii
Eti unbeaten , unbeaten my ugly black ass.
Arsenyetoz watoto wadogo sana
Hapo hamjakutana na miamba wa kazi hizi Chelsea ,real champions WA England ,nawaambia hivi tutawakaanga siku hiyo ,bora msiingize uwanjani hicho kikundi cha wacheza ngoma
Tunawauziaga vibovu sterling ni mchezaji ambaye hana constituencyLeo kuna timu tatu mchezaji mmoja kapigwa red.
Tujiangalie hapa. Anyway, I think tunaingia kipindi ambacho tunahitaji kushinda magoli mengi ila bado hatuna watu wa kustep up au bado tunaitafuta rhythm.
Shida ni kwamba muda wa kutafuta rhythm ukifika unakuta tuna majeruhi. So tunaona bora tutafute ushindi kuliko kuukosa kabisa.
Kwenye orodha mpya ya majeruhi tuna Saka na Timber.
Merino na Sterling wanaanza leo, hopefully Sterling kaona makosa yake kutokea mara ya mwisho aliyocheza. Ila kusema kweli jamaa hajawahi kujifunza kuanzia namjia hadi leo.
Tumuone Kepa
Mchizi kama amepanic hiviiBraza hii andika yako kama ungekuwa unaongea mishipa ingekuwa imesimama barabara![]()
Acha kujitetea ww popomaWhat worries me ni kwamba hakuna refa anayetaka kubalansi mechi akishatoa red kwa Arsenal