Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Misukule imeshaanza kuichoka timu yao, leo Arsenyau inacheza halafu jukwaa limepoa hakuna hata comment moja mpaka jioni hii[emoji16][emoji16][emoji16]
Wazee wa Haram Football mapema hii mmeshatupa taulo?
1724315601560.jpg
 
Arteta haamini vijana wenye talent kama Nanweri anaamini takataka zake kama sterling,Jesus etc
 
Shakhtar ni viazi,

Wenzao wote siku hizi wanatuwashia moto from minute 1 ndiyo wanatufunga wametuacha kipindi cha kwanza tucheze tokomile tumewabahatisha moja.

Wanakuja kuzinduka wamechelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom