Tabu mara mbili. Hii kauli niliisema humu before msimu haujaanza. Tabu mara mbili inakuja.
Tabu ya kwanza, ni ya timu lako kuboronga, au kutokuwa ndani ya UCL. Akina
Flano na
Mkohoti hapa wanaelewa zaidi.
Tabu ya pili, unaipata kutoka Arsenal. Hii inakuja kwa njia nyingi. Utaumia tukicheza sexy football, kwa sababu timu lako haliwezi kucheza hivi unless wacheze na BARNSLEY.
Njia nyingine ya kupata tabu, ni pale tunapoleta HARAMU FOOTBALL kama tulompigia TOTTENHAM, vivo hivyo ATALANTA.
Bado tunaleta aina nyingine ya tabu kesho Jumapili.