Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Suala sio kufananisha matukio yaliyokwishatokea na ya jana, tuangalie sheria inasemaje mchezaji anapopiga mpira mbali baada ya mwamuzi kupuliza kipyenga.

Tatizo lemu AssAnal mnasahau mapema, huwa mnaanza ligi kwa kiherehere kama hivi ila mwishoni ulimi wote nje. Ni nini kinawapa tumaini kuwa msimu huu utakuwa tofauti na misimu mingine yote iliyopita mkawa mnataga?
 
Twende taratibu, ushabiki maandazi weka pembeni.

Wazungu wanasema hivi "In association with International Football Association Board (IFAB) guidance to enhance effective playing time, referees will caution(yellow card) players when they are deemed to have delayed the restart.

A player will be cautioned if they are guilty of delaying the restart of play or failing to respect the required distance when play is restarted with a dropped ball, corner kick, free kick or throw-in."

Cheki hapa chini, Doku makusudi kabisa, anapiga mpira wakati Arsenal wamezawadiwa free kick. Kwa mujibu wa maelezo hapo juu na ya kwako, Doku ilibidi awe cautioned na yellow card. Refa alitoa kadi?

Tuje kwa tukio la Trossard. Tukubaliane wote, Trossard alicheza foul kwa Silva. Baada ya foul Trossard aliwahi mpira, na kuupiga mbele ili Martinelli awahi ule mpira. Lengo sio kuchelewesha muda. Nimekuwekea picha hapa chini. Refa akatoa kadi.

Mechi Ile Ile, maamuzi tofauti
20240923_151908.jpg
20240923_144949.jpg
 
Doku akipiga ball mbaliii

View attachment 3104369View attachment 3104374wanajaribu sana kupigisha shoti Ili tupoteze focus ila wapi🤠🤠🤠....hzi mechi Tano za kwanza walimwengu walijua kuna vichapo vitakuwepo ila wapi...mpk Sasa yule wa juu katuacha points mbili....Spurs away na City away tumebeba points 4....kiukweli Manunu na Chelkenge na Livakuku wajiandae kabisa....hatutaki malalamiko tukikutana
 
Doku akipiga ball mbaliii

View attachment 3104375
wanajaribu sana kupigisha shoti Ili tupoteze focus ila wapi🤠🤠🤠....hzi mechi Tano za kwanza walimwengu walijua kuna vichapo vitakuwepo ila wapi...mpk Sasa yule wa juu katuacha points mbili....Spurs away na City away tumebeba points 4....kiukweli Manunu na Chelkenge na Livakuku wajiandae kabisa....hatutaki malalamiko tukikutana
 
Twende taratibu, ushabiki maandazi weka pembeni.

Wazungu wanasema hivi "In association with International Football Association Board (IFAB) guidance to enhance effective playing time, referees will caution(yellow card) players when they are deemed to have delayed the restart.

A player will be cautioned if they are guilty of delaying the restart of play or failing to respect the required distance when play is restarted with a dropped ball, corner kick, free kick or throw-in."

Cheki hapa chini, Doku makusudi kabisa, anapiga mpira wakati Arsenal wamezawadiwa free kick. Kwa mujibu wa maelezo hapo juu na ya kwako, Doku ilibidi awe cautioned na yellow card. Refa alitoa kadi?

Tuje kwa tukio la Trossard. Tukubaliane wote, Trossard alicheza foul kwa Silva. Baada ya foul Trossard aliwahi mpira, na kuupiga mbele ili Martinelli awahi ule mpira. Lengo sio kuchelewesha muda. Nimekuwekea picha hapa chini. Refa akatoa kadi.

Mechi Ile Ile, maamuzi tofauti
View attachment 3104369View attachment 3104374
Mkuu uko sahihi sana kwa Doku kutopewa adhabu kwa kuchelewesha mpira makusudi, lakini je, sheria ilikosea kumhukumu Trossard kwa kosa la kuchelewesha mchezo?

Wakati mwingine kufanikisha jambo kwenye maisha tunahitaji bahati, kitu ambacho Arsenal mnakosa sasa hivi kwa kudhani nyie ni champion material kama ilivyokuwa kipindi Liverpool anafukuzana na huyu Pep.

Kuweni watulivu makosa madogo madogo kwenye mpira yanakuwepo aidha yawe upande wenu au yawaue kama jana. Muda wenu ukifika mtanyanyua kwapa ila inaonekana sio sasa.
 
Suala sio kufananisha matukio yaliyokwishatokea na ya jana, tuangalie sheria inasemaje mchezaji anapopiga mpira mbali baada ya mwamuzi kupuliza kipyenga.

Tatizo lemu AssAnal mnasahau mapema, huwa mnaanza ligi kwa kiherehere kama hivi ila mwishoni ulimi wote nje. Ni nini kinawapa tumaini kuwa msimu huu utakuwa tofauti na misimu mingine yote iliyopita mkawa mnataga?
Watu wanajiuliza ni kivipi utaifunga Arsenal hii? hii ndio sababu ya sisi kuchukua ubingwa msimu huu. Refa akikusaidia utapata draw, usiposaidiwa tunapiga kwenye mshono.
 
Mkuu uko sahihi sana kwa Doku kutopewa adhabu kwa kuchelewesha mpira makusudi, lakini je, sheria ilikosea kumhukumu Trossard kwa kosa la kuchelewesha mchezo?

Wakati mwingine kufanikisha jambo kwenye maisha tunahitaji bahati, kitu ambacho Arsenal mnakosa sasa hivi kwa kudhani nyie ni champion material kama ilivyokuwa kipindi Liverpool anafukuzana na huyu Pep.

Kuweni watulivu makosa madogo madogo kwenye mpira yanakuwepo aidha yawe upande wenu au yawaue kama jana. Muda wenu ukifika mtanyanyua kwapa ila inaonekana sio sasa.
Hayo ndo maneno ya kiutu uzima
👏 👏
 
Kuna uwezekano Rodri wa Manchester City atakaa nje msimu mzima baada ya kupata injury ya ACL
 
Msimu uliopita Arsenal tukiwa tunacheza na City Kovacic akapata yellow kisha akafanya kosa jingine akatakiwa kupata yellow nyingine.

Refa hakutoa yellow ya pili.

Alipokuja kuulizwa baadaye akasema angetoa ya pili angeinfluence mechi yote.

Jana usiku Trossard akagewa yellow mbili na kuinfluence mechi nzima.

Refa ambaye aligoma kumpa Kovacic yellow ya pili ni Michael Oliver.

Refa aliyempa jana Trossard kadi mbili za yellow ni Michael Oliver.

Go figure
Nyie kondoo mnapenda kulialia. Mtaanza kudanganyana marefa wapo against na Arsenal utasema mna timu tishio kumbe mnajulikana hamna madhara. Arsenal sio timu y kwanza kupewa red card y aina hiyo so acheni kulialia.
images(1).jpg
 
Timu yako kama imeshafungwa mechi usiingie humu ku comment, tambua wewe ni mtoto mdogo unayejikojolea tu, humu waachie watu wazima wenye uhakika wa kwenda invincible. Understand the level.
Msikilizeni huyu, kuna waliofungwa na wapo juu yako.
 
Nyie kondoo mnapenda kulialia. Mtaanza kudanganyana marefa wapo against na Arsenal utasema mna timu tishio kumbe mnajulikana hamna madhara. Arsenal sio timu y kwanza kupewa red card y aina hiyo so acheni kulialia.
View attachment 3104863
Sometimes hua sikuelewi unakua umelenga nini.

Mfano kwenye hii post. Idea yako ilikua nini? You just came, pour your thoughts. Which are unrelated to what I just wrote and expect someone to understand.

Nakupa idea, niliitumia wakati nasoma. Ukiwa unajibu hoja ya mtu tumia kitu kinaitwa PEP (Point, Example, Prove) usiwe tu unaendeshwa na hisia blindly.
 
Msikilizeni huyu, kuna waliofungwa na wapo juu yako.
Juzi au jana ulitutishia kua tumekuacha point moja so kwa Kenge siyo gap kubwa tujiandae.

Timu ambazo zimefungwa na zipo juu ya Arsenal ni Villa na Kuku. Na zenyewe zimemuacha Arsenal point 1 tu.

Arsenal kashakutana na wapinzani wagumu. Kenge bado, Kuku kapasuka kwa Nottingham na mashabiki wake wakasema ni sawa tu kwakua kocha mgeni, unadhani utapita muda gani kabla hayo hayajajirudia? Villa atamaintain hilo gap? Kakutana na timu gani ngumu?

Mfano ukitumia system ya PEP niliyokwambia kati ya hizi timu 4 ( Kuku, Villa, Arsenal na Kenge) timu gani ina chance kubwa ya kuziba gap waliloachwa na kuwapita wengine?
 
Watu wanajiuliza ni kivipi utaifunga Arsenal hii? hii ndio sababu ya sisi kuchukua ubingwa msimu huu. Refa akikusaidia utapata draw, usiposaidiwa tunapiga kwenye mshono.
Kama mshabiki wa arsenal unafikiri nani wa kuifunga City hii?maana arsenal isiyofungika wanacheza kumi kwenye goli lao dhidi ya city wakizuia.
 
Back
Top Bottom