Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado refa alikuwa anamuonya kawaida tu haikuwa challenge ya kulazimisha kutoa kadi
Marefa wa England huwa ni wapuuzi sana na ndio maana wanaongoza kwa kuchikiwa na mashabiki wa mpira kutokana na maamuzi yao yasiokuwa na busara.

Kama huyu Michael Oliver ndio hamna kitu kabisa tangu nimuone akiwanyonga Juve dhidi ya real Madrid mwaka 2018 nikajua kabisa huyu ni referee wa ovyo asiyejua afanya maamuzi gani yaliyo sahihi kulingana na mechi.
 
Kai Havertz and Jurriën Timber completed 𝐳𝐞𝐫𝐨 passes against Man City today.It's the first time an outfield player has played 89+ minutes of a Premier League game and not completed a single pass since Opta records began.

Kenge myie eti mnataka ubingwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Eti ndo wanataka ubingwa.Si bora wabebe EVERTON tujue moja
20240922_213242.jpg
 
Arsenal tuko vizuri kwenye defense leo tumeonesha ulimwengu. Tunahitaji kufunga kwanza hata matatu halafu tuweke ukuta wetu game inaisha.
COYG.
 
Kwa namna referee wa mechi yetu Arsenal vs Man City alivyokuwa anachezesha mara mia referee wetu wa Kibongo akina Heri Sasi

Yaani ni bure kabisa, angekuwa Uarabuni angeshapigwa risasi
 
Pumbaff kabisa ,,,,,,,, mmepoteza point !

Narudia tena, mnataka EPL na UCL na fowad ya kai ? Jesus ? Martinel ? Huyu martinel mechi 17 hajafunga wala kuassist, Leo ndo kabahatisha
 
Nadhani Arteta na timu yake watakuwa wamepata somo zuri juu ya nidhamu msimu huu...Marefa wamekuwa wakali sana kwenye game za Arsenal......they gave cheap yellow cards hata kwa tukio ambalo wapinzani wakifanya hawaadhibiwi.....mfano Leo Doku kapiga mpira baada ya filimbi lkn Oliver alimezezea....Mechi ya Brighton Jao Pedro alipiga mpira mbali ukiwa nje tayari na hakuadhibiwa...Ila Arsenal wakifanya hivyo huadhibiwa.....Arteta anatakiwa kuuelewa Hilo na kuwa Fanya vijana wake kuwa na nidhamu kubwa sana uwanjani......COYG
 
Eti ndo wanataka ubingwa.Si bora wabebe EVERTON tujue moja
View attachment 3103630
Mnaumia sana majirani....hzo stats zipo hvyo halafu matokeo yakawaje🤠🤠🤠....Hawa mafala mlowatuma leo tumeshamaliza nao mzunguko huu...bdo nyny mijinga yetu....Manunu TAfuteni kipa na mabeki na viungo wa kueleweka....Chelkenge sajilini timu nzima maana wale wachezaji wenu sioni namna watakayotuzuia...Livakuku ndo kabisa...TAfuteni viungo aisee....hzi timu zte watatupa points sitasita msimu huu....sioni wa kutufunga kabisa
 
Nadhani Arteta na timu yake watakuwa wamepata somo zuri juu ya nidhamu msimu huu...Marefa wamekuwa wakali sana kwenye game za Arsenal......they gave cheap yellow cards hata kwa tukio ambalo wapinzani wakifanya hawaadhibiwi.....mfano Leo Doku kapiga mpira baada ya filimbi lkn Oliver alimezezea....Mechi ya Brighton Jao Pedro alipiga mpira mbali ukiwa nje tayari na hakuadhibiwa...Ila Arsenal wakifanya hivyo huadhibiwa.....Arteta anatakiwa kuuelewa Hilo na kuwa Fanya vijana wake kuwa na nidhamu kubwa sana uwanjani......COYG
Ukifatilia hata kipindi Livakuku wanaenda jino kwa jino na City kuna michezo walikuwa wanafanyiwa kukatishwa upepo Ili City apite na kombe....Sasa hzi habari zimehamia kwa arsenal...mambo wanayofanya wachezaji wetu hata timu zingine wanafanya ila hawaadhibiwi ila sisi ni chap kidogo tunaadhibiwa....Sasa watafute mbinu nyingine ya kutuzuia kwa sababu hatutafungwa goli nyingi na tutafunga goli nyingi....wale wahuni wetu wte wakirudi pale katikati ligi ndo tunaanza rasmi....mpk December kina Mkohoti sijui Flano Bonnie gold na wahuni wengine wte watahamia upande wa guardiola....mechi ngumu zishapita....mwendo wa makonzi unaanza rasmi
 
Kai Havertz and Jurriën Timber completed 𝐳𝐞𝐫𝐨 passes against Man City today.It's the first time an outfield player has played 89+ minutes of a Premier League game and not completed a single pass since Opta records began.

Kenge myie eti mnataka ubingwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Cry more
 
Nottingham forest wanakusalimia...Komasava mkuu🤠🤠🤠....tunawasubiri kwa hamu Emirates na wale wafukuza upepo wenu tuje kuwapa lekcha kidogo
 
Back
Top Bottom