the palace
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 365
- 1,080
Tuweke kumbukumbu sawa, Ni lini Gab Martinel amefunga ama ameassist kwa mara ya mwisho ? Kama sijakosea anaenda game 15+ ! Eti winger., huyu ndo awape EPL na UCL, na fowadi kai ? Sajilini vyuma !
Tuweke kumbukumbu sawa, Ni lini Gab Martinel amefunga ama ameassist kwa mara ya mwisho ? Kama sijakosea anaenda game 15+ ! Eti winger., huyu ndo awape EPL na UCL, na fowadi kai ? Sajilini vyuma !
HARAMU FOOTBALLExperience ni changamoto.
As of now kila tukicheza na timu za kariba hii dawa ni haram football.
HARAMU FOOTBALLMikel anafundisha mipira ya aina nyingi
Mixer of
Tiki Taka,
Jogo Bonito and
Haram footballView attachment 2950473
Niliwabetia nikijua mmeshapata utimamu kumbe bado wagonjwa, na kwa City mmepewa 4 na mhindi. Inamaana hamna namna mnatoka kondoo nyie.Unakandia huku unatubetia🤠🤠🤠...j2 tubetie tena....na siku tukikutana na nyny tubetie tena ila shangilia timu yako kibishi maana utaumia kwmba tumekudunda ila kwny mkeka utakuwa umekula....kumbe una akili kidogo we jamaa...nilijua ni kilaza kumbe zinachaji kidogo
tia
Tabu ya mwisho, msimu ukiisha mnatoka kapa. Hahaha......Tabu mara mbili. Hii kauli niliisema humu before msimu haujaanza. Tabu mara mbili inakuja.
Tabu ya kwanza, ni ya timu lako kuboronga, au kutokuwa ndani ya UCL. Akina Flano na Mkohoti hapa wanaelewa zaidi.
Tabu ya pili, unaipata kutoka Arsenal. Hii inakuja kwa njia nyingi. Utaumia tukicheza sexy football, kwa sababu timu lako haliwezi kucheza hivi unless wacheze na BARNSLEY.
Njia nyingine ya kupata tabu, ni pale tunapoleta HARAMU FOOTBALL kama tulompigia TOTTENHAM, vivo hivyo ATALANTA.
Bado tunaleta aina nyingine ya tabu kesho Jumapili.
Msimu uliopita huyu mhindi aliwapa ngapi Arsenal?Niliwabetia nikijua mmeshapata utimamu kumbe bado wagonjwa, na kwa City mmepewa 4 na mhindi. Inamaana hamna namna mnatoka kondoo nyie.
Uwe unafuatilia mpira ili ujue unayembetia trend yake ya ushindi ikoje.Niliwabetia nikijua mmeshapata utimamu kumbe bado wagonjwa, na kwa City mmepewa 4 na mhindi. Inamaana hamna namna mnatoka kondoo nyie.
Niliwabetia nikijua mmeshapata utimamu kumbe bado wagonjwa, na kwa City mmepewa 4 na mhindi. Inamaana hamna namna mnatoka kondoo nyie.
Nataka kurudisha hela yangu, Arsenal vs City nimbetie nani?Uwe unafuatilia mpira ili ujue unayembetia trend yake ya ushindi ikoje.
Kama ana wachezaji muhimu ama la. Anaocheza nao formation ikoje, ni timu inatoka nchi gani vitu kama hivyo.
Hata ukikesha kulalamika humu hiyo hela ya ada hairudi.
Si umesema mhindi kashaonyesha Arsenal inakufa? Muamini broNataka kurudisha hela yangu, Arsenal vs City nimbetie nani?
Hiyo match fair, 1-1/0-0City next match Watford halafu Newcastle
Arsenal next match Bolton halafu Leicester
Arsenal haina Martin. City ikiamua kumchezesha Kevin inaweza.
Arsenal haijamfunga City Etihad bado. Sioni ikianza kesho, kwa trend yetu ya sasa tukishinda ni miujiza. Arsenal tuna shida nyingi mojawapo ni kwamba asipokuwepo mchezaji fulani timu inacheza huku inakubali kwamba kuna gape.
A better mid option kwangu ni Rice, Partey na Sterling. Trossard acheze na Sterling siku moja tuone
5 big chances na wamepoteza zote. Na wana STMtu anaandika utumbo usiku kesho timu yake inapigwa 3.
Anyway, palace anacheza back 3. Nyumbu msimu huu wameirudia ile work plan ya kupaki basi na kungoja counter.
They have a chance kwa hii formation
Mtu anaandika utumbo usiku kesho timu yake inapigwa 3.
Anyway, palace anacheza back 3. Nyumba msimu huu wameirudia ile work plan ya kupaki basi na kungoja counter.
They have a chance kwa hii formation


Nyumbu sasa hivi ni mwendo wa Seksi football tu, halafu Arsenyau imehamia kwenye haram football ni mwendo wa papatu papatu.