BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,169
- 2,487
Hapana hawezi kucheza kwenye Carabao.
raya mgonjwa?Hapana hawezi kucheza kwenye Carabao.
Raya mgonjwa.
Kipa namba 3 mgonjwa.
So anaweza anzishwa kipa wa youngsters
ni 25 / 09 / 2024 mkuu
Yeah, juzi alitoka huku anachechemea. Ikiwa serious hawezi kuchezeshwa wakati kuna PSG na Leicester mbeleraya mgonjwa?
Nyie Wenger orphans ndo mlivyo muuzia Rodrigo hivi mnataka kumaliza career ya kijana wa watu.
Hii timu ifungiwe tu.
View attachment 3105240

Ila allypipi una ufwala mwingi sana aiseeee.Ila mkuu naona saizi umejifunza ujaja na kelele kama misimu mingine naona kukosa kombe mara 2 mfululizo kumekupa akili.Nasikia tuna tuhuma mpya tumepewa. Wanadai tunatumia DARK ARTS katika mechi zetu
That's why tumekuwa disappointed na usajili wa dirisha hili, ilibidi tuwe na vyuma haswa, wakati wanapiga kelele sisi tunasonga mbele tuu
Usichoelewa hapo nini mkuu, na hii mpka tuition?Sometimes hua sikuelewi unakua umelenga nini.
Mfano kwenye hii post. Idea yako ilikua nini? You just came, pour your thoughts. Which are unrelated to what I just wrote and expect someone to understand.
Nakupa idea, niliitumia wakati nasoma. Ukiwa unajibu hoja ya mtu tumia kitu kinaitwa PEP (Point, Example, Prove) usiwe tu unaendeshwa na hisia blindly.
Ok sawa.Usichoelewa hapo nini mkuu, na hii mpka tuition?
Kwenye post yako ni malalamiko kwamba Oliver yupo against Arsenal, so nikawashauri muache kulia lia? Arsenal sio timu ya kwanza kupewa red card y aina hiyo.
Picha chini nikakuwekea picha Mechi Arsenal Vs Chelsea, Xhaka alimchezea Kovacic rafu ila aliyepewa red card ni Kova. Kukuonyesha sometym vitu kama hivyo hutokea upande wenu pia. ila hakuna aliyelia lia.
Ikitokea upande wenu mnadai Arsenal haipendwi, haipendwi for whatttt? wakati hata ulaya tu hako katimu kenu hakatambuliki.
Mi niliwaambia humu, Jumapili tutawaletea tabu wakaona nawapiga mkwaraSo City kupigwa goli la kona kaona dhambi?![]()

Naona unafata falsafa ya PEP kutoka kwa CastrMi niliwaambia humu, Jumapili tutawaletea tabu wakaona nawapiga mkwara
Man U, Chelsea na some Liverpool fans wameungana na City kutukaanga mitandaoni kote.Nilichokipenda, tunaenda nao SAKO KWA BAKO kila sehemu. Wakileta utata wowote, utaona fans hao, wanakuja kurudisha za uso
Nimekumbuka maneno ya Arteta after a loss vs Everton mwaka jana.
"I want the team to know how much I love them. I love them much more now than three hours ago, a week ago, month ago, three months ago. It’s very easy to be next to the players when they are winning and performing. This is the moment I love my players more, the staff more and now we stick together. This journey is going to be difficult and challenging, and there’s going to be bigger stones in the middle that we’re going to have to overcome that. And now we’re going to prepare really well in the week to get to Saturday in the right emotional level and right spirit to be perfect."
Ni suala la mashabiki na vilabu kubadili tu mtazamo wao kuhusu arsenal.mfano.Mi niliwaambia humu, Jumapili tutawaletea tabu wakaona nawapiga mkwara