Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu Castr mara kibao tu alikua anatofautiana na Masingeli, jamaa alikua hakubali kuburuzwa kizembe.
Kati ya hizi chawa Pro-Max mbili mkorea na arsenal2004 mmoja wao ndio anastahili kurithi mikoba ya masingeli.
Twende ado ado mzee
IMG-20240824-WA0025.jpg
 
1. Raya
2. White
3. Timber
4. Saliba
5. Gabriel
6. Partey
7. Saka
8. Rice
9. Kai
10. Ordegard
11. Martineri
 
Dakika ya 17 Villa wanapata free kick kufuatia faulo ya Ben ni eneo la Arsenal
 
Dk 20 mpira umesimama, Bailey kaumia. Bado Bila bila
 
Martinez amelazimia kuiokoa timu Villa mara moja baada ya Rice kufanya jaribu hatari
 
Nafas muhimu kwa Villa ni 1 huku kipa Martinez akiiokoa timu yake mara 2
 
Arsenal wanaongoza kwa udhibiti wa mpira wa asilimia 67 na pass 141 dhidi ya 68 za Villa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom