Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Rogers sasa anafikafika langoni mwa Arsenal japo beki ziko imara. Kipindi hiki ndio Villa hujipatia alama 3.
 
Awali ya yote dk ya 66
Arsenal katoka Martinel kaingia Trossard


Villa katoka Watkins na McGinn kaingia Durlan na Ramsey
 
Leandro kafunga akiwa katikati ya mstari wa 18 na kupiga kona ya kulia

Dk 72 Onana kadi ya njano
 
Back
Top Bottom