Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal imechangia wachezaji 5 Kwenye Kwenye team of the year ikiwa ndo timu iliyotoa wachezeji wengi ikifuatiwa na Manchester City (4)
 

Attachments

  • FB_IMG_17241848537545333.jpg
    FB_IMG_17241848537545333.jpg
    96.7 KB · Views: 17
Tutaondoka na point 6
Zikizidi hapo ni bahati kudondokea upande wetu.
Kwasababu timu mwanzoni mwa msimu zinakuwa kwenye tension na pressure
Refer mechi yetu yakwanza na wolves bado hatuna rythm kweny uchezaji nikama tumesahau tulipoishia
Ndio maana nilikubaliana na wewe uliposema after 3 matches ndio tutegemee wataendelea walipoishia last seasaon.
Hapa mechi za kutusumbua Ni mbili tu mkuu, za Villa na City kwa sababu Ni away.

Lakini kwa Brighton na Spurs tutachukua point kiulaini sana
 
Hapa mechi za kutusumbua Ni mbili tu mkuu, za Villa na City kwa sababu Ni away.

Lakini kwa Brighton na Spurs tutachukua point kiulaini sana
Bukayo saka ameonyesha matuarity,
Goli kama lile mara chache sana kufungwa na watoto wadogo .
Hiki kitu mimi kili ni impress

Pia angalau sub zikifanyika unaona hata wapinzani wanajipanga upya
Kwaiyo tuna uhakika wa points 6.

Hizo mechi za villa na city mkuu tukicheza kama tulivyocheza na wolves kupata matokeo itategtemea na wapinzani watachezaje na ukizingatia ugenini!!!
Tukipata zaidi ya point 6 bahati
 
Arsenal imechangia wachezaji 5 Kwenye Kwenye team of the year ikiwa ndo timu iliyotoa wachezeji wengi ikifuatiwa na Manchester City (4)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kutoa wachezaji 5 Kwenye team of the year imewasadia kushinda kombe gani msimu uliopita?
Hizi ndio mentality zinazofanya Asenyo miaka yote ionekane ni midtable team.
City katoa wachezaji 4 ana kombe la ligi.
Liver katoa mchezaji 1 ana Carabao cup.
Nyie mliotoa wachezaji wengi wamewasaidia kupata kombe gani?
Hilo ndio swali kwa shabiki yoyote wa Arsenyo mwenye akili timamu kabla ya kufurahia timu yake kutoa wachezaji wengi anapaswa ajiulize.
Kwa mentality mliyonayo sitashangaa kuona mmefika mpaka phase 10 bila ya kubeba kombe lolote la maana hapa dunia.
1766546044.jpg
 
Tupo na rhymes ya juu Sana
High mentality ya winning
High temper

Vila, city na Brighton hawana namna zaidi ya kutugea points zetu tu aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseeee Masingeli alifanikiwa pakubwa sana kuzibrainwashed hizi chawa zake, yaani machawa yanajiropokea tu tena kwa full confidence bila hata kuzishughulisha akili zao[emoji23][emoji23][emoji23]
1713723279967.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseeee Masingeli alifanikiwa pakubwa sana kuzibrainwashed hizi chawa zake, yaani machawa yanajiropokea tu tena kwa full confidence bila hata kuzishughulisha akili zao[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3075575
Baada ya game tano, utakata mdomo wewe mwenyewe. Nakuvutia muda tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilijua tu wale wabakaji lazima watakua ni mashabiki wa Arsenyau, tafiti nyingi zinaonesha matukio mengi ya hovyohovyo hua yanafanywa na watu wanaoshabikia timu ya Arsenyo[emoji16][emoji16][emoji16]
1724315601560.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom