arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Bado winger/striker mmoja tuanze kuandaa vifurushi vya 5+...na mteja wetu wa kwanza atakuwa Chelseaš¤ š¤ ...tumpe kono la sokwe tena
Bado winger/striker mmoja tuanze kuandaa vifurushi vya 5+...na mteja wetu wa kwanza atakuwa Chelseaš¤ š¤ ...tumpe kono la sokwe tena
Hahaha 5 back to back hawezi kukubaliBado winger/striker mmoja tuanze kuandaa vifurushi vya 5+...na mteja wetu wa kwanza atakuwa Chelseaš¤ š¤ ...tumpe kono la sokwe tena
Tayari kifaa kimetua
Hapa tutakuwa tumepata LW ya maana, kwanza hata forward anacheza


Ogopa sana kwenye timu yako kua na kocha au mchezaji mwenye jina linaloanzia na Mikel, yaani hilo jina ni gundu tupu kwenye mafanikio ya club. Kesho hamtaamini, tuna utaratibu kila msimu timu iliyotufunga last season lazima akalie msumari wa moto next season tunaanza na huyu kesho.Kuna kitu kimemiss huu msimu. Nacho si kingine bali ni kelele. Kuna heshima fulani hivi mmeanza nayo huu msimu, sio humu tuu na mitaani pia. Kuna ka ubaridi fulani hivi mnacho. Kweli muda ndo mwakimi mzuri.
Anewei, sio kwa ubaya maana Binadamu tumeumbwa kusahau
View attachment 3077273View attachment 3077274
Hiyo ni Spanish gitaaaOgopa sana kwenye timu yako kua na kocha au mchezaji mwenye jina linaloanzia na Mikel, yaani hilo jina ni gundu tupu kwenye mafanikio ya club.
Mikel Arteta baada kuona kua yeye ni gundu kaamua kuongeza Mikel mwingine kwenye timu, yaani msimu huu Arsenyau kuna Gundu Pro-Max, mkitoboa top4 nimekaa paleeeeeee. View attachment 3077322
ššššš huyu sio Kiongozi wa false hopers kweli ... maana kapotea sana .Nilijua tu wale wabakaji lazima watakua ni mashabiki wa Arsenyau, tafiti nyingi zinaonesha matukio mengi ya hovyohovyo hua yanafanywa na watu wanaoshabikia timu ya Arsenyo
View attachment 3076163
Mkuu, msimu huu mpo CL?False hopers mpo its been a long time without false hopes. Nilimiss false hopes za humu last match season iliyopita mlikua mnafanya rehearsal ya kunyanyua ubingwaš.
Naona season hii pia mtuambie mapema mpo phase ya ngap? sisi jukumu letu nikuziandika phase zenu na matukio kwa kila phase.
Pia uchaguzi ufanyike wa mkuu wa kitengo cha matumaini bandia maana simuoni false hoper mkuu sijui kabadilisha idš.
kitengo apewe castr au mkorea bila kusahau Arsenal 2004.
Mnakumbuka lakini kilichowakosesha ubingwa last season ni home game against Aston villa zikiwa zimebaki game 3.
Nimewacheki jana PSG, alooooo!!!!Vitinha ndio Fabio Viera tuliyemsajili?




PSG ligi ya ufaransa ni panga linalokata mgombaNimewacheki jana PSG, alooooo!!!!
Wale madogo pale kati
Vitinha, Neves na Emery
False hopers mpo its been a long time without false hopes. Nilimiss false hopes za humu last match season iliyopita mlikua mnafanya rehearsal ya kunyanyua ubingwa.
Naona season hii pia mtuambie mapema mpo phase ya ngap? sisi jukumu letu nikuziandika phase zenu na matukio kwa kila phase.
Pia uchaguzi ufanyike wa mkuu wa kitengo cha matumaini bandia maana simuoni false hoper mkuu sijui kabadilisha id.
kitengo apewe castr au mkorea bila kusahau Arsenal 2004.
Mnakumbuka lakini kilichowakosesha ubingwa last season ni home game against Aston villa zikiwa zimebaki game 3.


Mkuu Castr mara kibao tu alikua anatofautiana na Masingeli, jamaa alikua hakubali kuburuzwa kizembe. Saa 8 mchana tupo na nyny majiraniš¤š¤...tuone ni kwmba hamuiwezi Brighton kwli au mlikuwa hamumuwezi De Zerbi....leo tutaona maendeleo yenu kiujumla na muelekeo wa bichwa ndonga baba ubayaMkuu Castr mara kibao tu alikua anatofautiana na Masingeli, jamaa alikua hakubali kuburuzwa kizembe.
Kati ya hizi chawa Pro-Max mbili mkorea na arsenal2004 mmoja wao ndio anastahili kurithi mikoba ya masingeli.
Leo Brighton anawapigaMkuu Castr mara kibao tu alikua anatofautiana na Masingeli, jamaa alikua hakubali kuburuzwa kizembe.
Kati ya hizi chawa Pro-Max mbili mkorea na arsenal2004 mmoja wao ndio anastahili kurithi mikoba ya masingeli.
ni muda wake sasa na yeye kuelekea saudiaGabriel Jesus has NOT travelled with the Arsenal squad to face Aston Villa due to a groin issue.
[@Teamnewsandtix] #afc