Dk 45 wamepumzika
Arsenal akiwa na udhibiti wa asilimia 69
Wote wamepoteza nafasi 1 muhimu kupata goli
Mashuti golini Vila 3 na Arsenal 4
Martinez ameiokoa Villa mara 2 na Raya wa Arsenal mara 1
Kona 1 kwa arsenal, Villa hawana.
Makosa ya uwanjani arsenal wamefanya mara 8 na Villa mara 3
Kupokezana mpira Arsenal wamepeana mara 300 na Villa wakipeana mara 134.
Mara nyingi Arsenal huwa na udhibiti wa mchezo lakini Villa huwaduwaza kwa kushtukiza hasa kipindi cha pili. Lakini pia watambue sio kila siku ni ijumaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.