Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Forest wanamtaka Nketiah, ofa ya kwanza kabisa wakaweka 15M. Arsenal ikakataa.

Tukaburuzana, tulivyofika katikati tukaambiwa Forest wameghairi kumchukua Nketiah fanbase ikaanza lawama upya kwa Edu.

Leo Forest kapeleka 25M Arsenal imegoma tena.

Emile, kaumwa, kafanyiwa surgery hajaanza mechi nyingi ila tumemuuza Fulham kwa sh ngapi?

Solanke kauzwa 60M kwanini Nketiah auzwe 15M au 20M? Arteta alivunja hadi mikataba kwa wachezaji alioona hawatakua na mchango kwa timu. Na wengine wakauzwa cheap.

It simply means kwa Arteta Nketiah akiondoka ni sawa ila akibaki ni sawa zaidi. Idadi ya magoli aliyofunga tena akitokea benchi ingekua ndiyo sisi tunamtaka akiwa Forest kwa rekodi hizi hizi tungeambiwa tulipe 70M.
 
Washika bunduki Mambo Ni vipi?
IMG-20240819-WA0018.jpg
 
Sociedad wamegomea offer ya 30M ya Arsenal, wanataka 40M.

Mchezaji ana miaka 28 na kabakisha msimu mmoja mkataba wake uishe Sociedad.

Mashabiki wanakasirika kwakua Arsenal tulikubali kuwapa KT kwa mkopo na hiyo ilibidi iwe kianzishi cha ujirani mwema
 
mechi ijayo dhidi ya villa ,endapo arteta ataenda na mbinu na lineup ile aliyoitumia dhidi ya unai pale emirates kwenye last meeting.. sitashangaa
villa kupata matokeo.

brighton wana kocha mpya msimu huu.. ni kijana na mwenye njaa ya mafanikio.. inaeza kuwa 50-fifty.. kwa timu yyte kupata matokeo.

naona.. itakuwa rahisi zaidi kupata matokeo dhidi ya spurs na city.
 
Kilichochangia kuchapwa na Villa ni forwards na mid zetu kutoshoot nje ya box.

Villa wamekua compact mno
 
Back
Top Bottom