Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna watu humu huwa arsenal tukifanya vibaya wanasema sana lakini tukishinda kama leo hawaonekani humu!
 
Naona Ngosha na Wenger bado wanashabikia Arsenal tu..lol
Ni sawa na wewe unavoshabikia Rosonelli ilhali wanachemka kwa Serie A.....

'Balantanda is Arsenal damu'......Hii iliandikwa enzi zile JF kuna kasehemu ka 'status'...

Nitabakia kuwa Arsenal mpaka baada ya kifo.......No matter what!!!....

Habari ndo hiyo...
 
mwana belo.. ni man UTD hajui .. tatizo la arsenal..!!! arsene wenger sio tatizo...!! mbona mpira tucheza mzuri tu .. wenger akiondoka arsenal utashangaa faster kanyakwa na real madrid ...!!

wenger anachofanya sasa ni kutengeza FAMILY! ... juzi kati nilikuwa naangalia ETAME MAYA .. alipokuwa akihojiwa... akasema THE INVISIBLE WAS LIKE A FAMILY!!...

angalia vijana wadogo aliokuwa nao wenger .. fumba macho angalia gervinho baada ya miaka 2 atakuwaje, jenkson, usisahau huyu kipa wetu mwenye jina gumu, chemberlin... Fringpong . etcl....! tuombe mungu tu wasije kuwa wasaliti kama kina cesc

tujitahidi tu msimu huu upite salama... wenger anajuwa anachofanya! ..

hao uliowataja wote wakishapikwa wakawiva wakawa wachezaji wamaana babu yetu AW anauza yeye yupo kibiashara zaidi,kumbuka huko nyuma kazalisha vipaji walipokua tayari akauza ndio tabu ya Aw.
 
Naona Ngosha na Wenger bado wanashabikia Arsenal tu..lol

Acha fujo mkuu lol.

Arsenal damu hapa , hatuendi kojkote.

Vipi umemuona Ronaldinho alivyorudi kwenye afya yake? Kapunguza uzito na u-captain kapewa Brazil na anafanya mambo ya maana. Msiende tu kutaka kumchukua tena mkamuaribu.
 
mwana belo.. ni man UTD hajui .. tatizo la arsenal..!!! arsene wenger sio tatizo...!! mbona mpira tucheza mzuri tu .. wenger akiondoka arsenal utashangaa faster kanyakwa na real madrid ...!!

wenger anachofanya sasa ni kutengeza FAMILY! ... juzi kati nilikuwa naangalia ETAME MAYA .. alipokuwa akihojiwa... akasema THE INVISIBLE WAS LIKE A FAMILY!!...

angalia vijana wadogo aliokuwa nao wenger .. fumba macho angalia gervinho baada ya miaka 2 atakuwaje, jenkson, usisahau huyu kipa wetu mwenye jina gumu, chemberlin... Fringpong . etcl....! tuombe mungu tu wasije kuwa wasaliti kama kina cesc

tujitahidi tu msimu huu upite salama... wenger anajuwa anachofanya! ..
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa,ila wanakuwa fit kiukweli jamaa hana ubavu wa kuwa-retain,yaani timu yetu inakuwa kama accademy flani hivi
 
Ni sawa na wewe unavoshabikia Rosonelli ilhali wanachemka kwa Serie A.....

'Balantanda is Arsenal damu'......Hii iliandikwa enzi zile JF kuna kasehemu ka 'status'...

Nitabakia kuwa Arsenal mpaka baada ya kifo.......No matter what!!!....

Habari ndo hiyo...
n
Mkuu pamoja sana, huo ndo uanaume sio tatizo kidogo unakimbia nyumbani !
 
"We had a good start for 25 minutes but as soon as Sunderland equalised the confidence started to wobble a bit. The second half was all us but we needed something special from Robin van Persie to make the difference." AW on BBC
 
mwana belo.. ni man UTD hajui .. tatizo la arsenal..!!! arsene wenger sio tatizo...!! mbona mpira tucheza mzuri tu .. wenger akiondoka arsenal utashangaa faster kanyakwa na real madrid ...!!
KAKA sio wote wenye macho wanaona,Real Madrid hawawezi kuvumilia mambo anayafanya Wenger labda abadilike,unafikiri Madrid watakubali kununua wachezaji kama Djorou,Chamakh,Frimpong,Jerkinson,Squilaci?

wenger anachofanya sasa ni kutengeza FAMILY! ... juzi kati nilikuwa naangalia ETAME MAYA .. alipokuwa akihojiwa... akasema THE INVISIBLE WAS LIKE A FAMILY!!...
Kitu ambacho AW amefeli ni kutengeneza timu nyingine baada ya Invisible,huwezi kutengeneza family while kila season unauza influencial players,hataki kukubali kwamba mpira wa sasa ni pesa tofauti na enzi zile.Fikiria Nasri,Cesc,Clichy,Toure,Adebayor,Eboue,Hleb,Flamini,Gallas,Henry,ACole,Diarra na wengineo wangekuwepo Arsenal leo ingekuwa inatisha.Juzi umesikia RVP nae anaanza kutingisha kiberiti.

Angalia Barca pamoja na kuwa wanapika wachezaji wakali kwenye academy yao lakini mbona wanatumia fedha kununua wachezaji kama Sanchez,Mascherano,David Villa
 
Golikipa kafungwa magoli mchekeo sana uyu wa sandaland..kuna bahasha kapewa nadhan.

Tofauti yake haibi Maandazi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mimi nimechoka halafu huyu Oshea na Brown wanacheza kwakupania utasema wako Manu

Walitumwa na mzee Fungie khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

Gooooooooooollll! lalalala! ofside!

Mbona M. Dean aliwapa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee itabidi ajieleze .... .. maana ile soft free kick huwa hatoi hasa wakiwa wafadhili wake wanaompa brown envelopes khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

Siku RVP akiumia sijui nani mwingine mwenye uwezo wa kufunga hapo Arsenal

Tutamkodi Wine Romney unasemaje?

Msihofu mashabiki wa the gunners leo tunamchapa mtu goli nyingi,wapi wacha1 njoo tushanglie hapa jukwaani,mimi nipo jukwaa la kusini nimevaa jaket nyekundu na pama la blue la gunners

Vipi mkuu, umeona jamaa walivyobebwa kipindi cha pili, hawakuwa na nia ya kucheza soka ..... ..... .... tutafika tu .... pm uniambie mitaa yako.

Waleteeeeeeeeeeeeee aooooooo! Wapi Arsene Wenga?...wap Wacha Booooooy! wapi Mbu?....naona mmemukaimisha maumivu Questt na ndugu zake apa.

Tumekimbia jukwaa maana moto ni mkali tunaendelea kujificha hadi EPL iishe, how do you like that? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
KAKA sio wote wenye macho wanaona,Real Madrid hawawezi kuvumilia mambo anayafanya Wenger labda abadilike,unafikiri Madrid watakubali kununua wachezaji kama Djorou,Chamakh,Frimpong,Jerkinson,Squilaci?

Kitu ambacho AW amefeli ni kutengeneza timu nyingine baada ya Invisible,huwezi kutengeneza family while kila season unauza influencial players,hataki kukubali kwamba mpira wa sasa ni pesa tofauti na enzi zile.Fikiria Nasri,Cesc,Clichy,Toure,Adebayor,Eboue,Hleb,Flamini,Gallas,Henry,ACole,Diarra na wengineo wangekuwepo Arsenal leo ingekuwa inatisha.Juzi umesikia RVP nae anaanza kutingisha kiberiti.

Angalia Barca pamoja na kuwa wanapika wachezaji wakali kwenye academy yao lakini mbona wanatumia fedha kununua wachezaji kama Sanchez,Mascherano,David Villa

Wacha majungu wewe, ongelea timu yako ya mashoga na wezi wa maandazi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tupo nafasi ya kumi yakhe!!!
Taratibu tunaitafuta Man City

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hatujaweza kuwa na first eleven yetu tangu EPL ianze next week T5 anarejea tutajaribu kufunga biashara pale nyuma safi sana ..... .......na bado Chamberlain, Ryo, Park wanachukua uzoefu wa mikakati ya EPL .... ..... ...... ...... ....
 
Tofauti yake haibi Maandazi khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Walitumwa na mzee Fungie khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mbona M. Dean aliwapa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee itabidi ajieleze .... .. maana ile soft free kick huwa hatoi hasa wakiwa wafadhili wake wanaompa brown envelopes khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

Tutamkodi Wine Romney unasemaje?

Vipi mkuu, umeona jamaa walivyobebwa kipindi cha pili, hawakuwa na nia ya kucheza soka ..... ..... .... tutafika tu .... pm uniambie mitaa yako.

Tumekimbia jukwaa maana moto ni mkali tunaendelea kujificha hadi EPL iishe, how do you like that? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Fat Arse Anal is one man team! Mancini has logged an interest to sign RVP in Jan transfer window lol!

http://www.dailystar.co.uk/football/view/216170/ROBIN-VAN-SHIRTY/
 
Back
Top Bottom