Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa style hii ya uchezaji lazima RVP aondoke........Unless AW afamye usajili wa kutisha JAN....
 
Naona SAF ana hisa hapa sundalend..wachzaj wake wngi wapo apa...brown, richardson, wlbnk, oshea et al.
 
Kwa style hii ya uchezaji lazima RVP aondoke........Unless AW afamye usajili wa kutisha JAN....
Tatizo sio usajili.......Ni mfumo/aina ya uchezaji unaofundishwa na AW.....Umeprove failure siku nyingi tu lakini bado anaung'ang'ania....

Hata tusajili wachezaji wazuri 11 tukiendelea na mfumo wa sasa yatakuwa ni yale yale....

Bala is always here........
 
Wacheki viwango vyao kwenye former clubs au timu ya taifa, yani ni tofauti kabisa!
Angalia Chamakh alivyokuwa Bordeaux,Rosisky alivyokuwa Dortmund,Arshavin alivyokuwa kwao at least msimu wake wa kwanza alionyesha makali nakumbuka kuna siku aliwapiga Liverpool goli 4
 
Back
Top Bottom