Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal kwa kweli bado, wanapoteza nafasi nyingi za wazi.
 
Arsenal goal: Whatever Seb Larsson can do, Robin van Persie can do better. Well, match anyway. Just like the Swede's first-half set-piece, this is an absolute pearler. Van Persie curls his free-kick over the wall and inside Simon Mignolet's left-hand post.
 
Huyu Kipa wetu katutoa sana...... Tatizo bado kwangu mie jina lake ni GUMU sana.... Achalia mbali kuliandika.... Kulisoma tu ni issue.... hebu lisomeni hili jina wadau "Wojciech Szczesny."

​Jamaa ana jina Gumu sana.... But KEEP IT UP!!!!!!!
 
Aise ushindi ushindi tu.

Ila wakuu ndio kwanza mechi ya 8!
Hizo 30 na vikombe vingine itakuaje?!

Kazi tunayo:

Taratibu tunapanda ngazi!


[TD="class: c1"]1[/TD]
[TD="class: c2 team"] Man City [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]21[/TD]
[TD="class: c5"]22[/TD]

[TD="class: c1"]2[/TD]
[TD="class: c2 team"] Man Utd [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]19[/TD]
[TD="class: c5"]20[/TD]

[TD="class: c1"]3[/TD]
[TD="class: c2 team"] Chelsea [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]11[/TD]
[TD="class: c5"]19[/TD]

[TD="class: c1"]4[/TD]
[TD="class: c2 team"] Newcastle [/TD]
[TD="class: c3"]7[/TD]
[TD="class: c4"]5[/TD]
[TD="class: c5"]15[/TD]

[TD="class: c1"]5[/TD]
[TD="class: c2 team"] Liverpool [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]2[/TD]
[TD="class: c5"]14[/TD]

[TD="class: c1"]6[/TD]
[TD="class: c2 team"] Tottenham [/TD]
[TD="class: c3"]6[/TD]
[TD="class: c4"]1[/TD]
[TD="class: c5"]12[/TD]

[TD="class: c1"]7[/TD]
[TD="class: c2 team"] Stoke [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]-2[/TD]
[TD="class: c5"]12[/TD]

[TD="class: c1"]8[/TD]
[TD="class: c2 team"] Aston Villa [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]1[/TD]
[TD="class: c5"]11[/TD]

[TD="class: c1"]9[/TD]
[TD="class: c2 team"] Norwich [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]-1[/TD]
[TD="class: c5"]11[/TD]

[TD="class: c1"]10[/TD]
[TD="class: c2 team"] Arsenal [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]-5[/TD]
[TD="class: c5"]10[/TD]

[TD="class: c1"]11[/TD]
[TD="class: c2 team"] QPR [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]-8[/TD]
[TD="class: c5"]9[/TD]

[TD="class: c1"]12[/TD]
[TD="class: c2 team"] West Brom [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]-3[/TD]
[TD="class: c5"]8[/TD]

[TD="class: c1"]13[/TD]
[TD="class: c2 team"] Swansea [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]-5[/TD]
[TD="class: c5"]8[/TD]

[TD="class: c1"]14[/TD]
[TD="class: c2 team"] Fulham [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]1[/TD]
[TD="class: c5"]7[/TD]

[TD="class: c1"]15[/TD]
[TD="class: c2 team"] Everton [/TD]
[TD="class: c3"]7[/TD]
[TD="class: c4"]-4[/TD]
[TD="class: c5"]7[/TD]

[TD="class: c1"]16[/TD]
[TD="class: c2 team"] Wolves [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]-6[/TD]
[TD="class: c5"]7[/TD]

[TD="class: c1"]17[/TD]
[TD="class: c2 team"] Sunderland [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]0[/TD]
[TD="class: c5"]6[/TD]

[TD="class: c1"]18[/TD]
[TD="class: c2 team"] Bolton [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]-10[/TD]
[TD="class: c5"]6[/TD]

[TD="class: c1"]19[/TD]
[TD="class: c2 team"] Wigan [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]-8[/TD]
[TD="class: c5"]5[/TD]

[TD="class: c1"]20[/TD]
[TD="class: c2 team"] Blackburn [/TD]
[TD="class: c3"]8[/TD]
[TD="class: c4"]-9[/TD]
[TD="class: c5"]5[/TD]
 
Hongereni gunners wenzangu kwa ushindi.....

Ila timu yetu bado sana,hatuchezi mpira wa Arsenal ile tuliyoizoea,kama enzi za 'The Invincibles'....AW ana haja ya kubadilisha mfumo/aina ya uchezaji sasa maana kwa hali ilivyo sasa kila mtu anacheza kivyake uwanjani,hakuna co-ordination,mabeki hawaelewani,viungo hawaelewani na washambuliaji ndo usiseme.....Thank God we found RVP.....Vipi kama akiumia/akiondoka kama ilivyokuwa kwa Samir na Cesc,ndo kusema ataondoka na magoli yake?......AW anapaswa kuwapika washambuliaji waliobaki akina Chamakh,Gervinho,Arshavin,Walcott,J.P Young na wengineo...

Arsenal: Together We Stand......Mpaka kitaeleweka tu,mdogomdogo tutafika...
 
Tunapoteza nafac nyingi sana mpaka sometimes mtu unaona kama kuna mgomo upande wa wachezaji. Ushindi wakutokwa na jasho kweli kweli. Nakumbuka enzi ya kina Pires na Henry
 
Pointi 3 muhimu, bahati mbaya sikuiangalia mechi nilikuwa mizunguko, ahsanteni wakuu kwa update, bado tuna safari ndefu.
 
Pamoja fellow gooners..Gemu tumeshinda lakini defence bado tatizo.
 
January huyu AW asajili la sivyo wachezaji wengine watatimua. Kwenye transfer rumours naona bado upande wetu wanahusishwa vitoto vya miaka 16,17,18 & 19. Sikio la kufa halisikii dawa huyu kocha mwisho wake ni kutimuliwa. He is too rigid
 
mkuu me always i have faith na gooners mpira mzuri tuchaza .. tatizo umaliziaji .. na jenkson bado hayupo tayari... kwani hakuna mtu mwenye experience upande ule..??
Ndio hapo unapomkumbuka mtu aina ya Emmanuel Eboue........Alikuwa ni mbadala mzuri sana wa Sagna pale kulia nyuma.....Huyu Jenkinson kalegea sana na hana nguvu kabisa.......

Labda ifike mahali AW aanze kuwajaribu Squillaci na Djourou kwenye nafasi ya beki wa kulia sasa.....
 
niko pamoja nawewe,wenger hana jipya kaishiwa mbinu,bora aondoke,ila tunashkuru mungu tumeshinda.

mwana belo.. ni man UTD hajui .. tatizo la arsenal..!!! arsene wenger sio tatizo...!! mbona mpira tucheza mzuri tu .. wenger akiondoka arsenal utashangaa faster kanyakwa na real madrid ...!!

wenger anachofanya sasa ni kutengeza FAMILY! ... juzi kati nilikuwa naangalia ETAME MAYA .. alipokuwa akihojiwa... akasema THE INVISIBLE WAS LIKE A FAMILY!!...

angalia vijana wadogo aliokuwa nao wenger .. fumba macho angalia gervinho baada ya miaka 2 atakuwaje, jenkson, usisahau huyu kipa wetu mwenye jina gumu, chemberlin... Fringpong . etcl....! tuombe mungu tu wasije kuwa wasaliti kama kina cesc

tujitahidi tu msimu huu upite salama... wenger anajuwa anachofanya! ..
 
Ndio hapo unapomkumbuka mtu aina ya Emmanuel Eboue........Alikuwa ni mbadala mzuri sana wa Sagna pale kulia nyuma.....Huyu Jenkinson kalegea sana na hana nguvu kabisa.......

Labda ifike mahali AW aanze kuwajaribu Squillaci na Djourou kwenye nafasi ya beki wa kulia sasa.....

Kwlei kabisa Eboue haikuwa na sababu ya nkumuuza, hali ya sasa hivi angesaidia beki ya kulia na pia midfield pale alikuwa powa tu. Namkumbuka mpaka Denilson pia.
 
Back
Top Bottom