Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

RVP Has scored 23 goals in 25 Premier League games in 2011, six more than any other player (Rooney, 19).

Safi sana naona RVP anawanyima usingizi, subirini Chamberlain, Park na Ryo waanze kazi waliyopewa hapo ndipo mtajua zipi ni mbivu.
 
The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch

Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.

28rejux.png
Hivi hawa wavamizi wa sredi yetu huwa hawasomi hapo penye nyekundu(iliyokolea) na kupaelewa?
 
hehehe mkuu lafu umegundua hii thread ndio unakuwa alive arsenal tukiwa na game... kule kwao wanakaa kimya mpaka washinde...
 
bala, tunaelewa ndio maana tunakaa kimya

sasa wasaidie na vitoto vyako vinaruka kila thread kupiga kelele wakipewa upper cut, wanakimbilia kwa mods... respect
 
Hata za Nasri na Cesc zilianza kama gossip

Wewe marehemu! hujui kila kitu huanzia kwenye gossip? niambie Nasri, Clinchy na Cesc kama haikuanzia kwenye gossip! Arsenal is a feeder club for Man City!

Mtabaki na wazo hayo hayo. With an exception ya Cesc, hao wengine wote wameondoka kwa sabu ya hela. Van P issue ya hela kwake ni minor sana. Kumbuka he is married kwa mtoto wa Mfalme.
Van P yupo loyal na ana real commitment kwa Arsenal. Wenger kamtoa mbali, toka akiwa toto tundu, full vurugu, mpaka sasa ameamua kutulia kabisa. Nafikiri juz kabla ya game mlimsikia alivyosema abt new contract.
 
Kwenye soka la sasa ulaya(hasa EPL) lolote lawezekana mkuu......Kamwe usipuuze tetesi.....Kaka anaipenda sana AC Milan na kwao(numbani kwao) ni matajiri sana lakini kwa sababu ya pesa aliondoka Milan akaenda Real Madrid........Kuna suala la mafanikio na utashi/mapenzi binafsi ya mchezaji......Wakati mwingine suala huwa si pesa,suala linalowasumbua wachezaji ni mafanikio(vikombe)......RVP anaweza kuondoka Arsenal kwa sababu ya vikombe bin mafanikio......
 
word up bro.........
 
Vermaelen shows Van Persie how it's done by penning new four-year deal with Arsenal

Arsenal have removed fears over another big-name departure by signing Thomas Vermaelen to a new four-year deal.

The injury-prone centre-back, who is currently sidelined with an ankle injury, has extended his contract until 2015.

article-2050439-0E6CFC3E00000578-935_468x347.jpg

Vermaelen, who is closing in on return to the Gunners team, said: 'I am really happy to have signed a new contract with Arsenal. I always had the intention to stay here.

Hivi hawa wavamizi wa sredi yetu huwa hawasomi hapo penye nyekundu(iliyokolea) na kupaelewa?

hehehe mkuu lafu umegundua hii thread ndio unakuwa alive arsenal tukiwa na game... kule kwao wanakaa kimya mpaka washinde...

Jirani mpaka wewe kufikia kulalamika hivi, naanza kuhisi hali yenu sasa inakuwa mbaya! Hata ile maana ya RIVALRY na BANTER hamtaki tena kusikia, mnataka mbaki wenyewe hapa jukwaani. Kwa ukongwe wangu wote hapa JF sijawahi kuona haya mambo ya "kibaguzi" kwenye misimu yote iliyopita wakati Arsenal walipokuwa wakifanya "vizuri". Well, mimi naweza kuacha kuja hapa kwenye thread yenu, lakini ningewaona mna busara zaidi kama mngesema pia kwamba ninyi hamji kule kwetu. Threads za timu nyingine zote zimejaa posts (nyingine hazina hata hadhi ya kuitwa post) za watu wa Arsenal mbona sisi hatuoni taabu nyie kupost kule, hata huyu Viper kajaa kibao kule Chelsea lakini hapa anaonyesha unafiki wake...mbona wakati tunawekewa picha za mabundi kule Chelsea msimu uliopita sikuona mtu akilalama?!...just be big enough to receive some few sticks when it's your turn...ooh wait, nimesahau Arsenal ni wazee wa kulialia!! Nafikiri tuache unafiki wakuu, the reasons hizi thread za sports zimesurvive muda mrefu na kuwa na mvuto ni pamoja na kuwepo upinzani ukiandamana na banter.
For me, rivalry and banter will always be an important part of football, through them you learn more about your own club. I would hate the idea of talking to the people with same ideas like mine all the time, it becomes monotonous! All you guys likes to hear is something like "together we stand (without even saying how you'll stand), Wenger is god, In Wenger we Trust (but the fact is, In Wenger You Rust)"....it sounds very boring in my book.

My stand:
If you can't stand the heat, get out of the kitchen....I'll keep coming....hahahaha!!
 
Naona vermaelen ameshakuwa fiti sasa..kati ya kosci na Per sijui ni yupi atakuwa anapartner naye.
 
January,2012 the following will leave arsenal
1. robin
2. walcott
3. vemaleen

Above have been confirmed.
 
... .... ..... and join Msharika ..... ..... .. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Jirani mpaka wewe kufikia kulalamika hivi, naanza kuhisi hali yenu sasa inakuwa mbaya! Hata ile maana ya RIVALRY na BANTER hamtaki tena kusikia, mnataka mbaki wenyewe hapa jukwaani. Kwa ukongwe wangu wote hapa JF sijawahi kuona haya mambo ya "kibaguzi" kwenye misimu yote iliyopita wakati Arsenal walipokuwa wakifanya "vizuri". Well, mimi naweza kuacha kuja hapa kwenye thread yenu, lakini ningewaona mna busara zaidi kama mngesema pia kwamba ninyi hamji kule kwetu. Threads za timu nyingine zote zimejaa posts (nyingine hazina hata hadhi ya kuitwa post) za watu wa Arsenal mbona sisi hatuoni taabu nyie kupost kule, hata huyu Viper kajaa kibao kule Chelsea lakini hapa anaonyesha unafiki wake...mbona wakati tunawekewa picha za mabundi kule Chelsea msimu uliopita sikuona mtu akilalama?!...just be big enough to receive some few sticks when it's your turn...ooh wait, nimesahau Arsenal ni wazee wa kulialia!! Nafikiri tuache unafiki wakuu, the reasons hizi thread za sports zimesurvive muda mrefu na kuwa na mvuto ni pamoja na kuwepo upinzani ukiandamana na banter.
For me, rivalry and banter will always be an important part of football, through them you learn more about your own club. I would hate the idea of talking to the people with same ideas like mine all the time, it becomes monotonous! All you guys likes to hear is something like "together we stand (without even saying how you'll stand), Wenger is god, In Wenger we Trust (but the fact is, In Wenger You Rust)"....it sounds very boring in my book.

My stand:
If you can't stand the heat, get out of the kitchen....I'll keep coming....hahahaha!!

Sasa Peasant, na wenzangu wanavyokulalamikia ndio banter yenyewe hio! Tena unavyolalamika ndio wanazidi kukuponda kwa kuja hapa, kwao ndio banter pia, maana kwa sasa hatuna sababu wala silaha nyingine ya kukurushia!

Na mie nasema, hivyo hivyo, hatutaki blues humu, kwanza na ukweli utajulikana tukikutana, tena hivi karibuni...
 
Hahahahaha, inawezekana ndio banter yenyewe mkuu! Lakini nahisi kuna mlipuko wa "kila mtu abaki kwenye thread ya timu yake". Hii nimeiona hata kule Loserfools, kuna jamaa eti hawataki kuona watu wengine kule, wanataka kuongea wenyewe wenyewe kuhusu queen Kenny kama wanga, na wako very serious...come on, life is too short, you need to wear a broad smile on your face even if you keep shipping goals....hahahaha!!
 
Jirani mpaka wewe kufikia kulalamika hivi, naanza kuhisi hali yenu sasa inakuwa mbaya! Hata ile maana ya RIVALRY na BANTER hamtaki tena kusikia, mnataka mbaki wenyewe hapa jukwaani. Kwa ukongwe wangu wote hapa JF sijawahi kuona haya mambo ya "kibaguzi" kwenye misimu yote iliyopita wakati Arsenal walipokuwa wakifanya "vizuri". Well, mimi naweza kuacha kuja hapa kwenye thread yenu, lakini ningewaona mna busara zaidi kama mngesema pia kwamba ninyi hamji kule kwetu. Threads za timu nyingine zote zimejaa posts (nyingine hazina hata hadhi ya kuitwa post) za watu wa Arsenal mbona sisi hatuoni taabu nyie kupost kule, hata huyu Viper kajaa kibao kule Chelsea lakini hapa anaonyesha unafiki wake...mbona wakati tunawekewa picha za mabundi kule Chelsea msimu uliopita sikuona mtu akilalama?!...just be big enough to receive some few sticks when it's your turn...ooh wait, nimesahau Arsenal ni wazee wa kulialia!! Nafikiri tuache unafiki wakuu, the reasons hizi thread za sports zimesurvive muda mrefu na kuwa na mvuto ni pamoja na kuwepo upinzani ukiandamana na banter.
For me, rivalry and banter will always be an important part of football, through them you learn more about your own club. I would hate the idea of talking to the people with same ideas like mine all the time, it becomes monotonous! All you guys likes to hear is something like "together we stand (without even saying how you'll stand), Wenger is god, In Wenger we Trust (but the fact is, In Wenger You Rust)"....it sounds very boring in my book.

My stand:
If you can't stand the heat, get out of the kitchen....I'll keep coming....hahahaha!!
''Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.''
 
Back
Top Bottom