Manda
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 2,071
- 306
Mbn hujanibeep sasa!??
Seb Larson kapiga free Kick safi sana.... Gollie wetu kud done nothing about it... Its tym up kuacha kupoteza chance......1-1
Jekinson is a real J***K..... Bonge la BOKO... Ila Kipa katutoa sana.... ingekua 2-1.... Brilliant save from our Gollie....
Jekinson is a real J***K..... Bonge la BOKO... Ila Kipa katutoa sana.... ingekua 2-1.... Brilliant save from our Gollie....
ahahahaah!! Mtandao haupatikani...
Tehe tehe eh!! Half time...Timu zingine kushabikia lazima uwe na Kikombe cha Tangawizi maana hukawii kupata Shambulizi la Moyo LoL!
Tupo pamoja wakuu, mie ndio nimejiunga hapa ,vipi game?
Dah......
Jumapili leo mkuu , mechi imekuja mapema kidogo ndio nimeingia hapa naona 1-1.Waleteeeeeeeeeeeeee aooooooo! Wapi Arsene Wenga?...wap Wacha Booooooy! wapi Mbu?....naona mmemukaimisha maumivu Questt na ndugu zake apa.
Kama kawaida yenuTupo pamoja wakuu, mie ndio nimejiunga hapa ,vipi game?