Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Jirani mpaka wewe kufikia kulalamika hivi, naanza kuhisi hali yenu sasa inakuwa mbaya! Hata ile maana ya RIVALRY na BANTER hamtaki tena kusikia, mnataka mbaki wenyewe hapa jukwaani. Kwa ukongwe wangu wote hapa JF sijawahi kuona haya mambo ya "kibaguzi" kwenye misimu yote iliyopita wakati Arsenal walipokuwa wakifanya "vizuri". Well, mimi naweza kuacha kuja hapa kwenye thread yenu, lakini ningewaona mna busara zaidi kama mngesema pia kwamba ninyi hamji kule kwetu. Threads za timu nyingine zote zimejaa posts (nyingine hazina hata hadhi ya kuitwa post) za watu wa Arsenal mbona sisi hatuoni taabu nyie kupost kule, hata huyu Viper kajaa kibao kule Chelsea lakini hapa anaonyesha unafiki wake...mbona wakati tunawekewa picha za mabundi kule Chelsea msimu uliopita sikuona mtu akilalama?!...just be big enough to receive some few sticks when it's your turn...ooh wait, nimesahau Arsenal ni wazee wa kulialia!! Nafikiri tuache unafiki wakuu, the reasons hizi thread za sports zimesurvive muda mrefu na kuwa na mvuto ni pamoja na kuwepo upinzani ukiandamana na banter.
For me, rivalry and banter will always be an important part of football, through them you learn more about your own club. I would hate the idea of talking to the people with same ideas like mine all the time, it becomes monotonous! All you guys likes to hear is something like "together we stand (without even saying how you'll stand), Wenger is god, In Wenger we Trust (but the fact is, In Wenger You Rust)"....it sounds very boring in my book.
My stand:
If you can't stand the heat, get out of the kitchen....I'll keep coming....hahahaha!!
Hili ndilo jukwaa ninalolipenda hapa JF,so unaponiambia nisichangie hapa ni bora kunipiga ban.Nimeanza kuwamisi kina Mbu,Kanakansungu,Richard,Kibunango,Nzokanhyilu,BAK na wengineo ambao walikuwa wanatoa hoja na sio kulialia hapa jukwaani.