whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,192
- 2,550
unafikiri hawawazi basi.....hapo wanatamani siku zisogezwe mbele angalaumsimu huu ni msimu wa visasi kwa wale wote waliotusumbua hapo nyuma. Manyumbu watafikiwa na zamu yao na watapewa kichapo kama wengine. Hakuna atakae pona.
eti antony nae ni chezaji.....
nyumbu wanakaziwa hadi na burnley, dah