Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpira mbinu na magoli.
hiohio mbinu akitumia Man Utd na akaondoka na points3 mnamnanga humu na kumsema na mpira wa papatu papatu, ila mkibananishwa na nyinyi mnasema ni mbinu
Kiukweli kabisa kuna kipindi kwa vyovyote vile timu inahitaji matokeo tu, na hiki mlichofanya jana kinaonesha jinsi gani mmeanza kua na mentality za kupambania ubingwa, haya mambo ya kulazimisha kumiliki mpira na kucheza mpira mzuri halafu points3 anachukua mtu mwingine yalikua yanawapotezea muda sana.
Kuna kipindi inakulazimu hata upaki basi ilimradi uondoke na points3, binafsi sijafurahishwa kabisa jinsi Arteta alivyoishtukia hii mbinu maana kuna uwezekano ikamletea mafanikio makubwa sana kitu ambacho sisi hatukifurahii.
Tunapenda kuona kila mechi Arsenyo inacheza mpira mzuri, inafanya pressing na overloading, inaongoza kwa possessions halafu inaishia kupata point1 au kupoteza kabisa
 
Kiukweli kabisa kuna kipindi kwa vyovyote vile timu inahitaji matokeo tu, na hiki mlichofanya jana kinaonesha jinsi gani mmeanza kua na mentality za kupambinia ubingwa, haya mambo ya kulazimisha kumiliki mpira na kucheza mpira mzuri halafu points3 anachukua mtu mwingine yalikua yanawapotezea muda sana.
Kuna kipindi inakulazimu hata upaki basi ilimradi uondoke na points3, binafsi sijafurahishwa kabisa jinsi Arteta alivyoishtukia hii mbinu maana kuna uwezekano ikamletea mafanikio makubwa sana kitu ambacho sisi hatukifurahii.
Tunapenda kuona kila mechi Arsenyo inacheza mpira mzuri, inafanya pressing na overloading, inaongoza kwa possessions halafu inaishia kupata point1 au kupoteza kabisa
Kweli hutupendi namna hii Mkuu 😅

Ama kama hivi hamia tu Gunners, bado tuna nafasi kwaajili yenu 😜
 
Ilibidi tuwaachie wacheze mpira sisi tutafute magoli,Tottenham wanawiki mbili na nusu hawajacheza mechi yoyote,wakati sisi ndani ya siku 12 tumecheza mechi 4,kwahyo wao walikuwa na energy Zaidi Ila Sisi tulikuwa na ufananis Zaidi Yao.kushinda mechi Ni vitu vingi
 
Bro, tuna wasiwasi jamaa anaumwa au kuna shida flani. Ile 5g tu tuliyompiga Chelkenge ilitosha kumfanya mwenzetu aonekane usiku ule ule, ila mpaka leo holaa.
Mwamba anatamani sana kutia neno humu, kila akishika simu anaandika halafu anafuta, maana anajua kabisa kuna watu humu wamekaa attention wanamsubiria waruke nae
Ila mwamba ni muoga sijapata kuona aiseee.
 
Kweli hutupendi namna hii Mkuu

Ama kama hivi hamia tu Gunners, bado tuna nafasi kwaajili yenu
Timu yenye haina kombe lolote la Ulaya tokea kuumbwa kwa ulimwengu nihamie ili iweje?
Yaani kwa lugha rahisi unaweza kusema Arsenyo haina tofauti yoyote na Ihefu.
Halafu niache chama dume ambalo kabati yake imejaza makombe ya Ulaya eti unahamia Ihefu ya London kweli si nitaoneka zimeshaanza kuruka?
 
Kuna points zetu 3 pale Old Trafford tunakuja kuzichukua. Hizo points 3 ni mali yetu na haki yetu, hivyo basi, lazima tusepe nazo.
Mashabiki wa Livapuli huko wanalalamikiana wenyewe kwa wenyewe kua tokea walivyocheza na Utd ndio wamepoteana moja kwa moja kwenye mbio za ubingwa.
Nyie endeleeni tu kutamania anguko lenu, ila msije kusema kua hatukuwaambia mapema shauri yenu
 
Dah
Mwamba unatusagia kunguni kinoma.Ila ndo hivyo ni kama maji kutuama kwenye sakafu ya zege halafu utegemee utelezi

Dadeki man U
Utapigwa ukiwa kamili na utapigwa ukiwa nusu
Utapigwa emirates na utapigwa OT
Utapigwa na jezi ya ugenini na utapigwa na jezi ya nyumbani
Utapigwa casemiro akiwa DM na utapigwa casemiro akiwa CB
Utapigwa kocha carrick na utapigwa kocha TEN HAG

yaani nyie kwetu tunawachukulia kama mama muuza bajia tu,tukiwa na hela tunakula na tukiwa hatuna hela bado tunakula😂😂😂😂

Hahaaa man u bwana,mashabik wako sirias kuliko wachezaji na mmiliki wa timu
 
Mpaka tucheze na nyie tutakuwa tumeshatangazwa kuwa mabingwa. Hizo points 3 tunakuja kuzichukua yaani ile basi tu, si kwamba tutakuwa tunazihitaji 😀
 
instatroll_football-20240427-0001.jpg
 
Spurs kapumzika siku 15 kabla hajacheza derby ya jana.

Arsenal tumepumzika siku 5. Tumecheza na kenge tarehe 23 tukampiga 5, kabla ya hapo tulicheza na Wolves tarehe 20 tukampiga 2.

Timu gani nyingine inaweza hivi?

From mentally and physical demanding game to another one with the same intensity.

Anatokea jamaa mmoja anakuja kukutishia nyumbu
 
Arsenal fans ndio maana watu wanawaona mna matarajio ya kishamba sana. Kwa game ya jana Spurs aliwamiliki karibu kila kitu kasoro goli moja tu lakini mnavyojisifu utadhani mmecheza mpira wa maana sana. Spurs hawakuwa clinical vya kutosha tu ndio maana mmepata hizo point 3, bila kusahau msaada wa VAR
Sasa tuchezajee mwanetu Fuentte, hatuwaelewi baddooo
 
Arsenal fans ndio maana watu wanawaona mna matarajio ya kishamba sana. Kwa game ya jana Spurs aliwamiliki karibu kila kitu kasoro goli moja tu lakini mnavyojisifu utadhani mmecheza mpira wa maana sana. Spurs hawakuwa clinical vya kutosha tu ndio maana mmepata hizo point 3, bila kusahau msaada wa VAR
ngoja tuje hapo kwenu tuwapige 3+ tuwakate ngebe muache kuchonga
 
hiohio mbinu akitumia Man Utd na akaondoka na points3 mnamnanga humu na kumsema na mpira wa papatu papatu, ila mkibananishwa na nyinyi mnasema ni mbinu
Kiukweli kabisa kuna kipindi kwa vyovyote vile timu inahitaji matokeo tu, na hiki mlichofanya jana kinaonesha jinsi gani mmeanza kua na mentality za kupambania ubingwa, haya mambo ya kulazimisha kumiliki mpira na kucheza mpira mzuri halafu points3 anachukua mtu mwingine yalikua yanawapotezea muda sana.
Kuna kipindi inakulazimu hata upaki basi ilimradi uondoke na points3, binafsi sijafurahishwa kabisa jinsi Arteta alivyoishtukia hii mbinu maana kuna uwezekano ikamletea mafanikio makubwa sana kitu ambacho sisi hatukifurahii.
Tunapenda kuona kila mechi Arsenyo inacheza mpira mzuri, inafanya pressing na overloading, inaongoza kwa possessions halafu inaishia kupata point1 au kupoteza kabisa
We jamaa wewe...
 
Dah
Mwamba unatusagia kunguni kinoma.Ila ndo hivyo ni kama maji kutuama kwenye sakafu ya zege halafu utegemee utelezi

Dadeki man U
Utapigwa ukiwa kamili na utapigwa ukiwa nusu
Utapigwa emirates na utapigwa OT
Utapigwa na jezi ya ugenini na utapigwa na jezi ya nyumbani
Utapigwa casemiro akiwa DM na utapigwa casemiro akiwa CB
Utapigwa kocha carrick na utapigwa kocha TEN HAG

yaani nyie kwetu tunawachukulia kama mama muuza bajia tu,tukiwa na hela tunakula na tukiwa hatuna hela bado tunakula😂😂😂😂

Hahaaa man u bwana,mashabik wako sirias kuliko wachezaji na mmiliki wa timu
dah! aloo.hayo maneno yako yanakera sana
 
Arsenal fans ndio maana watu wanawaona mna matarajio ya kishamba sana. Kwa game ya jana Spurs aliwamiliki karibu kila kitu kasoro goli moja tu lakini mnavyojisifu utadhani mmecheza mpira wa maana sana. Spurs hawakuwa clinical vya kutosha tu ndio maana mmepata hizo point 3, bila kusahau msaada wa VAR
Cry more
 
Back
Top Bottom