Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Almost blew it
micheal oliver kawabetia Arsenal yule alikua anaokoa mkeka weka penati yenyewe katoa kwa aibu kweli[emoji23][emoji23][emoji23] Arserefa Arsevar nyie umbwa leo mmebebwa mpaka aibu nimeona mimi, bila msaada wa refa mlikua mnakufa zaidi zisizopungua 6.
Moto mliopelekewa leo lazima mtafute barafu.
Mechi na United wahongeni marefa wawabebe tena wajaa laana nyie, na kombe mtaishia kuliona tu kwenye magazeti Arsenyau kabisa. View attachment 2976136
Bado zamu yenu...tunakuja OT🤠🤠...maneno kidogo vitendo vingi...City atapata Draw tu atake asitake[emoji23][emoji23][emoji23] Arserefa Arsevar nyie umbwa leo mmebebwa mpaka aibu nimeona mimi, bila msaada wa refa mlikua mnakufa goli zisizopungua 6.
Moto mliopelekewa leo lazima mtafute barafu.
Mechi na United wahongeni marefa wawabebe tena wajaa laana nyie, na kombe mtaishia kuliona tu kwenye magazeti Arsenyau kabisa. View attachment 2976136
mnaanzaVARsenal always got them referees on their payroll
nakusupport apa.. kai ata kukaa na mpira mguuni sekunde tano uongo. ila jesus anaeza na anatoa very good assists.. mfano mzuri goli la trosard vs wolvesI'd choose Jesus all day over Kai. Kai afunge au asifunge kwangu haibadili kitu.
Uchezaji wake kwa ujumla hawezi kumuweka level moja na Jesus.
Siwezi kukulaumu, magoli/matokeo mazuri ndio yanafika madhaifu yake huenda hujaliona hilo mpaka leo.
Mpira unaangaliaga lakini. Au unachungulia Livescorenakusupport apa.. kai ata kukaa na mpira mguuni sekunde tano uongo. ila jesus anaeza na anatoa very good assists.. mfano mzuri goli la trosard vs wolves
[emoji23][emoji23][emoji23] Arserefa Arsevar nyie umbwa leo mmebebwa mpaka aibu nimeona mimi, bila msaada wa refa mlikua mnakufa goli zisizopungua 6.
Moto mliopelekewa leo lazima mtafute barafu.
Mechi na United wahongeni marefa wawabebe tena wajaa laana nyie, na kombe mtaishia kuliona tu kwenye magazeti Arsenyau kabisa. View attachment 2976136
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kushabikia timu yenye haina kombe lolote la ulaya inahitaji moyo aisee, yaani kwenye kabati la timu yamejazana makombe ya Emirates cup na masinia ya maharage, halafu ndio mashabiki wa timu zenye mkombe kibao ya Ulaya ndio watamani kushabikia si ni uendawazimu huo.Kuna watu wanatamani kushabikia ARSENAL ila ndo tayari wamekua manyumbu na majogoo wengine wagonjwa " chelsick " kazi kupiga kelele humu jukwaani na kwenye majukwaa yao wamekimbia... #COYG.
taja kitu kimoja anachokupa kai over gabby . alafu tuendeleeMpira unaangaliaga lakini. Au unachungulia Livescore