BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,200
- 2,558
Bado naamini De Zerbi ni bonge la kocha la soka la kisasa. He needs to be on top teams(liver, city, Chelsea, man u, arsenal, tots) kwa hapo uingereza kuonyesha umwamba wake.Zamani ilikua unasikia "De Zerbi kocha hatari" waandishi wanamhoji juu ya formation wakatengeneza na quotes.
Kisha wakamfananisha na Arteta.
Alivyoanza kunyooshwa siku hizi humsikii tena
Anatakiwa awe sehemu, ambapo top talents zinakuja kwenye timu yake na kubaki, sio kuondoka. Imagine Caicedo bado yupo pale na Mac Allister, then wanaongezwa watu wengine wa maana.
Hii ndo sababu kwenye press conference ya March before game na Liverpool, alipoulizwa kuhusiana na hatma yake,akajibu “I need to speak to Tony Bloom (owner and chairman) about the plan for the club in order to decide my future, I want to know what is the project. I want to keep my ambition."
Plan and project za Brighton, haiwezi ku-extract maximum potential ya RDZ.