HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,643
- 7,073
Wale ni watoto wa mama tu kwetu. Umeona jinsi wababe wa ligi tulivy tikisa ndoto zao za kuingia top 4 huku tukiwaacha nyuma points 20? Hawatuwezi wale. Tutafutie mwingine unayeona angalau anajuajua boli.Nyie Chuchunge mabingwa wa sinia la maharage mna mpya gani humu?
Mie nawakumbusha tu, Kesho ndio ile siku yenu rasmi ya kwenda kuzika false hopes zote za phase4, mnaenda kukutana na wahuni wa London tena wako nyumbani kwao, mbaya zaidi mnaenda kuwakuta kina Pedro Porro wapo kwenye harakati za kupambania kuingia top4![]()



