Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787] sasa nyie kukosa ubingwa ni kitu cha kustaajabisha na kunipa shauku kweli
like SERIOUSLY hawa arsenal fans kuna kitu wana smoke sio kweli

Hapo Mnaenda kunyonyolewa matofalini ya kuchoma
kwa nyumbu hamfui dafu a rivalry for a meaning
Nyumbu, cry more 🤣🤣🤣
 
Timu ya kuizuia Arsenal isiwe bingwa ni Man City kushinda mechi zake zote zikizobaki na si kingine.. Tulisema Spurs atamzuia Arsenal lakini wapi. Hata Man utd hawezi kumzuia labda Arsenal asiwe kwenye form
 
[emoji1787] sasa nyie kukosa ubingwa ni kitu cha kustaajabisha na kunipa shauku kweli
like SERIOUSLY hawa arsenal fans kuna kitu wana smoke sio kweli

Hapo Mnaenda kunyonyolewa matofalini ya kuchoma
kwa nyumbu hamfui dafu a rivalry for a meaning
Hahah ushahamia unyumbuni. Sasa unaleta tako lako la nini humu si ukashabikie City!
 
Ahah sasa lugha mbaya za nini utani hautaki hizo mambo

By the way tuko hapa ku collect your all tears mpaka pale mtakapo sema kweli huu haukua msimu wenu pia

yani all of those winning heavy winning streaks to just finish second position dah soo pathetic delusional fans
 
Nyumbu, cry more [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi Madrid fan

kilichoniuma ni hawa plastic fans kusema wanamtamani madrid leo kesho dah eti wana mmudu ni fedhea iliyoje

kwa huku ipielo chance mnayo finyu shida na nyinyi hatuna japo tuna state facts kwa msimamo ulipo mna 2% of hope ya kubeba hilo taji
 
Ahah sasa lugha mbaya za nini utani hautaki hizo mambo

By the way tuko hapa ku collect your all tears mpaka pale mtakapo sema kweli huu haukua msimu wenu pia

yani all of those winning heavy winning streaks to just finish second position dah soo pathetic delusional fans
Heavy wins, tumalize second, yote hayo ni sawa kwetu.. Tunachojua we live the moment.

Wewe unaedanga threads za timu zengine kujifanya upo kwa best interest ya timu yetu, uendelee kuumia tu.

Unajifanya mchambuzi kumbe ushuzi mtupu!
 
Mimi Madrid fan

kilichoniuma ni hawa plastic fans kusema wanamtamani madrid leo kesho dah eti wana mmudu ni fedhea iliyoje

kwa huku ipielo chance mnayo finyu shida na nyinyi hatuna japo tuna state facts kwa msimamo ulipo mna 2% of hope ya kubeba hilo taji
Sasa madrid fan unakuja kuchezesha tako kwenye uzi wa the gunners si ush*ga huo!
 
USHAURI WA BURE KWA SHABIKI WA ARSENAL KUHUSU MECHI ZILIZOBAKI.

1. Kusitisha kuangalia mechi zilizobaki

2. Kukusanya dawa zote ndani ya nyumba na kwenda kuzitupa mbali au kuzichoma.

3. Kukusanya kamba zote, mtandio, kanga na mkanda ndani ya nyumba na kwenda kuvichoma moto.

4. Ondoa vitu venye ncha kali kama kisu na bisisi nyumbani kwako na kwenda kuvitupa mbali.

5. Mwisho usipite kwenye madaraja marefu na visima virefu.

MWISHO WA MSIMU UTANISHUKURU.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ushauri wa maana kabisa huu umewapea hawa Milembe Fc[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Heavy wins, tumalize second, yote hayo ni sawa kwetu.. Tunachojua we live the moment.

Wewe unaedanga threads za timu zengine kujifanya upo kwa best interest ya timu yetu, uendelee kuumia tu.

Unajifanya mchambuzi kumbe ushuzi mtupu!
Elewa nini maana ya ushabiki [emoji23]

kila timu lazima ipewe punchline wasikae kizembe zembe sasa nyi kina dada mnaita kudanga

mater in fact kule spana ni kutokana rivalry yetu Madrid na wao city soo lazima tuwapige na latest info za arsenal kama mahasimu wao

Embu tumia brain kufikiria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom