Game iliyopita na chelsea aligewa pasi mbele yake wako mabeki 2 alivyowafikia simply akageuka na kupiga back pass.I'd choose Jesus all day over Kai. Kai afunge au asifunge kwangu haibadili kitu.
Uchezaji wake kwa ujumla hawezi kumuweka level moja na Jesus.
Siwezi kukulaumu, magoli/matokeo mazuri ndio yanafika madhaifu yake huenda hujaliona hilo mpaka leo.
Kai na arteta sijui wana ushemeji.Umesahau jambo moja, Kai hatakiwi kuanza kabisa!
Kwa sasa Jesus amekuwa mkimbiaji tu, mpira wake hauna impact tena.Kai na arteta sijui wana ushemeji.
Timu inahitaji striker, ambae atashuka kuchukua mipira na kusogea nayo juu, striker ambae anasumbua mabeki akiwa na mpira, stiker sharp
Naandika haya, bwana kai kapiga pasi ya goli
Goli linachekiwa.....
Ni chumaaàaaa,
Chuma ya pili.
Ama kweli hakuna ng'ombe asiefaa, kai kasaidia chuma ya pili. Ila bado tunahitaji JESUS
watoto ngedele kweli Kai anapiga Ndoo wametoa macho tuTote anakula 5 lep
La tatukazi mnayo leooo mamaye