Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Heavy wins, tumalize second, yote hayo ni sawa kwetu.. Tunachojua we live the moment.

Wewe unaedanga threads za timu zengine kujifanya upo kwa best interest ya timu yetu, uendelee kuumia tu.

Unajifanya mchambuzi kumbe ushuzi mtupu!
Yani shabiki wa arsenal bana yani kitu kidogo yeye anakimbilia kutingisha tako yani anaona deal mwenye na hayo mambo

No wonder people call them arse anal coz that's wat they like

Bro WTF grow up you little delusional fan
 
Elewa nini maana ya ushabiki [emoji23]

kila timu lazima ipewe punchline wasikae kizembe zembe sasa nyi kina dada mnaita kudanga

mater in fact kule spana ni kutokana rivalry yetu Madrid na wao city soo lazima tuwapige na latest info za arsenal kama mahasimu wao

Embu tumia brain kufikiria
Punguza shobo wewe, kawajibu kwenye jukwaa lao huku hatutaki wanafiki.. Kama unataka kuwa against us, be it hatukuzuii. Ila kujifanya unachambua uonekane upo nasi tushakujua so save your energy, peleka ushamba huko.

Mwanaume anakuwa na msimamo. Wewe ukiiona Arsenal imefungwa unakuja kukanyaga, ikishinda ndo unajitia kimbelembele kuchambua! Huo ni ush*ga sisi washika mitutu hatukuelewi mjomba..
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Nyie Chuchunge mabingwa wa sinia la maharage mna mpya gani humu?
Mie nawakumbusha tu, Kesho ndio ile siku yenu rasmi ya kwenda kuzika false hopes zote za phase4, mnaenda kukutana na wahuni wa London tena wako nyumbani kwao, mbaya zaidi mnaenda kuwakuta kina Pedro Porro wapo kwenye harakati za kupambania kuingia top4
emoji16.png
emoji16.png
[emojii miongoni mwa MACHOKO mliopo
 
Arsenal kwa man utd ni mteja wakudumu

Mark my words
Hizi rekodi zako unazitoa wapi?

Mara ya mwisho united kuifunga Arsenal walisubiri muda gani ili kuifunga?

Una smartphone google
 
Ivhi hili tatizo na nyie kwenu lipo
Hua nawekaga tren 1xbet,shida nikitaka kuplace bet nakuta baadhi ya game zipo blocked sijui shida nni?
 
danganya kidogo mkuu. ukiongea ukweli hivi mapema hivi, kuna watu wataweza kuzimia kwa presha.
ila hata kenge tulishawapa warning
na bado wakaja na kina disasi wao
kenge huwa hasikii hadi atokwe damu.
kwako baba ubaya flano,tunakuja kukuliza na vijana wako hapohapo nyumbani kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom