Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Ohoo kumbe Sisi tulivunja hadi magoli uwanjani ,na Ni mwaka Jana hio ...

Mngekuwa na passion nyie Jana mngefungwa Goli moja mashabiki wote mkakimbia uwanjan ...

...

Still City ni viaziMngekuwa na passion nyie Jana mngefungwa Goli moja mashabiki wote mkakimbia uwanjan ...
Kama mashabiki WA Arsenal mngekuwa na passion Jana mngekimbia uwanjan na kuacha wachezaji wenu wakishindiliwa Goli la pili ?
Kama mna passion Jana mbona uwanja ulikuwa Kimya kama msibani ,mashabiki 30 WA villa ndio walikuwa wanasikika ...
Mashabiki WA kweli ilitakiwa kuendelea kushangilia hadi mwisho kenge nyie ,mnazila kabisa na kuacha kina ordegad masikin pekee yao wanapigwa miti na villa mpaka aibuu...
Harafu unakuta jitu oooh emirates kuna atmosphere nzuri ,kudadekiii
Jana mlionesha Namna gani nyie Ni plastic fan ,mnafungwaje Goli moja Tena kwenye title race mnakimbia uwanja badala ya kuwapa hope wachezaji waendelee kupambana ...falaa kabisa nyie ....Hakuna mashabiki pale![]()
Wakichukua Niite mbwaaArsenal kuchukua hili kombe haitakuja mwaka ujao wala miaka 10 mbele ....
Endeleeni kujifurahishaView attachment 2964573
Spurs mlevi anapigwa gongo 4 na Newcastle akamfunge city ndugu akili za kilevi kabisa , arsenal perfect team alikaa nyuma kwa cityNa nyie city mjikaze kwenye GD hapo ukipigwa au draw game mmoja Arsenal ashinde yake mtaamuliwa kwa GD au H2H
Man city played 33 games points 73 GD 44
Arsenal played 33 games points 71 GD 49
japo mna advantage ya easy fixtures zaidi yao ila bado anything can happen in football maana tunajua lazima mfe kwa spurs
huku tunawapiga spana Arsenal haimaanishi washatoka kwenye epl candidate hapana tunawapa ka reality na composure ya kutafakari ni jinsi gani wata amka na deal na mechi zao more matured kisha wawepo na points nyingi za kupambana na nyie
Huyu umenyoosha ,wakati city kapigwa chuma mbili na astonvilla mechi ya mwisho na ushindi ni lazima kunyanyua ndoo ,washabiki wangeondoka sijui ingekuwajeMngekuwa na passion nyie Jana mngefungwa Goli moja mashabiki wote mkakimbia uwanjan ...
Kama mashabiki WA Arsenal mngekuwa na passion Jana mngekimbia uwanjan na kuacha wachezaji wenu wakishindiliwa Goli la pili ?
Kama mna passion Jana mbona uwanja ulikuwa Kimya kama msibani ,mashabiki 30 WA villa ndio walikuwa wanasikika ...
Mashabiki WA kweli ilitakiwa kuendelea kushangilia hadi mwisho kenge nyie ,mnazila kabisa na kuacha kina ordegad masikin pekee yao wanapigwa miti na villa mpaka aibuu...
Harafu unakuta jitu oooh emirates kuna atmosphere nzuri ,kudadekiii
Jana mlionesha Namna gani nyie Ni plastic fan ,mnafungwaje Goli moja Tena kwenye title race mnakimbia uwanja badala ya kuwapa hope wachezaji waendelee kupambana ...falaa kabisa nyie ....Hakuna mashabiki pale![]()
Partey efusiiiiii na huyo kiwete wenu Saka a.k.a Sakaranya , mmeuona moto wa Palmer ?Mchambuzi nguli sijawasiliana nae kitambo kidogo ila namuona Sana online, means that yupo okey.
#hamtaamini
iyo Real madrid kijana nimeaza kuitazama toka mwaka 2000 wakati wanashinda Tuzo bora ya klabu ya karne sizani kipind kama hichi ulikua unafahamu mpira una fananaye afu kitu cha pili na ushabiki wako wote wa kushangalia city sizani kama kipind wanacheza kina Rober fowler,Richard dunne,yule mchina Sun jihai ulikua umezaliwa au ulikua shabiki wa city wew kama hujamuona Sun jihai akicheza Man city Wew sio Shabiki wa City endelea tu kushangilia timu yako ya Zamani ya Arsenal
Sasa Hao unaowasema siwajui ,hiyo miaka 2000 mim sikuwa hata nafuatilia mpira ,na wala sijutii ,.....wewe kama umezaliwa 1880 huko kimpango wako na timu zako ....
Harafu mim Ni shabiki WA mpira Kwa kuangalia sio Kwa kufuta upepo WA watu ,kama ningeanza kuwa nafuata mashati na kelele za watu basi ningekuwa shabiki WA united au Chelsea ....maana ndio walikuwa moto kipindi kile ,ila mim niliangalia mpira live nikujua man city this is my team waoooo,,2012 tukachukua pL katika mazingira ya hisia kaliii...Kwa kipindi naanza kukanyaga kibanda umiza kuangalia football man city ndio anakuja top ,....hio arsenal nilikuwa hata siijui ,labda man utd na Chelsea ndio kidogo japo hata sikuvutiwa nao..
Sasa Hao unaowasema siwajui ,hiyo miaka 2000 mim sikuwa hata nafuatilia mpira ,na wala sijutii ,.....wewe kama umezaliwa 1880 huko kimpango wako na timu zako ....
Harafu mim Ni shabiki WA mpira Kwa kuangalia sio Kwa kufuta upepo WA watu ,kama ningeanza kuwa nafuata mashati na kelele za watu basi ningekuwa shabiki WA united au Chelsea ....maana ndio walikuwa moto kipindi kile ,ila mim niliangalia mpira live nikujua man city this is my team waoooo,,2012 tukachukua pL katika mazingira ya hisia kaliii...Kwa kipindi naanza kukanyaga kibanda umiza kuangalia football man city ndio anakuja top ,....hio arsenal nilikuwa hata siijui ,labda man utd na Chelsea ndio kidogo japo hata sikuvutiwa nao....
polSasa Hao unaowasema siwajui ,hiyo miaka 2000 mim sikuwa hata nafuatilia mpira ,na wala sijutii ,.....wewe kama umezaliwa 1880 huko kimpango wako na timu zako ....
Harafu mim Ni shabiki WA mpira Kwa kuangalia sio Kwa kufuta upepo WA watu ,kama ningeanza kuwa nafuata mashati na kelele za watu basi ningekuwa shabiki WA united au Chelsea ....maana ndio walikuwa moto kipindi kile ,ila mim niliangalia mpira live nikujua man city this is my team waoooo,,2012 tukachukua pL katika mazingira ya hisia kaliii...Kwa kipindi naanza kukanyaga kibanda umiza kuangalia football man city ndio anakuja top ,....hio arsenal nilikuwa hata siijui ,labda man utd na Chelsea ndio kidogo japo hata sikuvutiwa nao....
asa kijana ujaona ata Emanuel adSasa Hao unaowasema siwajui ,hiyo miaka 2000 mim sikuwa hata nafuatilia mpira ,na wala sijutii ,.....wewe kama umezaliwa 1880 huko kimpango wako na timu zako ....
Harafu mim Ni shabiki WA mpira Kwa kuangalia sio Kwa kufuta upepo WA watu ,kama ningeanza kuwa nafuata mashati na kelele za watu basi ningekuwa shabiki WA united au Chelsea ....maana ndio walikuwa moto kipindi kile ,ila mim niliangalia mpira live nikujua man city this is my team waoooo,,2012 tukachukua pL katika mazingira ya hisia kaliii...Kwa kipindi naanza kukanyaga kibanda umiza kuangalia football man city ndio anakuja top ,....hio arsenal nilikuwa hata siijui ,labda man utd na Chelsea ndio kidogo japo hata sikuvutiwa nao....
kwahyo wakati Emmanuel Adebayor anawafunga Arsenal anashangalia Goli kama mwehu ulikua Shule Msingi pole sanaSasa Hao unaowasema siwajui ,hiyo miaka 2000 mim sikuwa hata nafuatilia mpira ,na wala sijutii ,.....wewe kama umezaliwa 1880 huko kimpango wako na timu zako ....
Harafu mim Ni shabiki WA mpira Kwa kuangalia sio Kwa kufuta upepo WA watu ,kama ningeanza kuwa nafuata mashati na kelele za watu basi ningekuwa shabiki WA united au Chelsea ....maana ndio walikuwa moto kipindi kile ,ila mim niliangalia mpira live nikujua man city this is my team waoooo,,2012 tukachukua pL katika mazingira ya hisia kaliii...Kwa kipindi naanza kukanyaga kibanda umiza kuangalia football man city ndio anakuja top ,....hio arsenal nilikuwa hata siijui ,labda man utd na Chelsea ndio kidogo japo hata sikuvutiwa nao....
Hahahaahha huyo jamaa achana naye anajitekenya,naona una andika hii ukiwa unalia
wababe? ..... wababe who?
Mchele ana twerk 😂