Arsenal anacheza na PSG kwenye kombe gani?naona vipigo mfululizo inawamendea 😂
PSG 🚫
WOLVES mmejitahidi Sana ni draw 😂
CHELSEA 🚫
TOTTENHAM 🚫
😂 Haya bc ngoja kesho Munich awakande vzrArsenal anacheza na PSG kwenye kombe gani?
Nimelia saanaAston villa anakufa mkono Leo, akileta za kupishana anakufa wiki
Ngap ngap mwanawaneHizi nafasi tujitahidi kuzitumia. Huyu vila apewe 3 akatulie
HAKIKAVilla atapigwa tu, Ni swala la muda
SIKUPINGINaona sasa hawa Aston villa wanaanza kuingia kwenye mfumo. Huu uchezaji wao ni suala la muda tu.
mwenyewe sijamwelewa huyo mwanetuArsenal anacheza na PSG kwenye kombe gani?
Kocha sasaHuwezi kuw unasaka matokeo una kai ndani, mchango wake kwenye kusaka magoli na kutengeneza ni mdogo mnoooo..
Leo kipindi cha kwanza angefunga walau 1.
Kwanza kuna cross ilipigwa yaani ule mpira ni kimo chake, hatimae akaruka kama chura.
Kuna mpira yeye ndio alikuwa mbele, hatimae beki akamkuta na kumzuia.
Mipira mingine mpaka naisahau.
Kacheza LCM lakini ni yupo yupo tu kama mfanyakazi hewa , ye ni kuzuia mpira na kupasia kamaliza,
Ngoja nikatizame updates za wayahudi na wa Persians.
Shoga yoyote huwa anadhani kupelekewa moto yeye ni rahisi pia kwa wanaume wengine.. No wonder umeanza accusations kwa wanaume wengine na probably inaonekana ulishawahi kukaa kwa shemeji yako akakupelekea so umeshajenga mentality kwamba ukikaa kwa shemeji lazima upelekewe.Umeshiba zako ugali wa maharage kwa shemeji yako, yamekulevya unaingia jamii forums kuandika upuuzi, badala ya kutafuta namna ya kujikwamua uache kuishi kwa shemeji yako,aliyeolewa ni dada yako sio wewe fala ww. Kazi kufuga makalio tu kwa shemeji yako hapo. Atakukula na ww.
Mwanetu yupo hoi anajaribu kuifuatilia Arsenal kwa nguvu hadi anamix codemwenyewe sijamwelewa huyo mwanetu
🤣🤣🤣🤣Huku Allianz matayarisho yamekamilika n mwili tuh tunangoja uwasili😂😂💔View attachment 2965985
Ukisikia matumizi mabaya ya kipaji ndiyo haya sasa. Huyu dogo mara mia hata aende kwa manyumbu kuliko kupoteza muda wake na wale kenge.Kwa huyu Palmer mkicheza na Chelsea mjiandae kisaikolojia